Man Mvua
JF-Expert Member
- Apr 12, 2016
- 2,183
- 3,521
Member since 29-09-2020.Chagua JPM. Achaneni na waongo. Huyu mgombea mwingine hana maadili.
Naona mpo wengi sana jitahidini muokoe jahazi.
JPM alidhani maflyover, mareli, ma-ndege ndio vitu vya kuombea kura. Kwa dunia ya leo hivyo vitu sio vya kutishia watu; hata watoto wanaviona kila siku kwenye Tv,simu,games nk
Watu wanataka furaha, amani, haki, heshima, shibe - kuishi bila hofu... wameyakosa haya kwa miaka mi5.