kifupi kirefu
JF-Expert Member
- Oct 29, 2018
- 539
- 3,507
Utumwa ni upi huo?Tuna siku 30 kamili za kuandika andika humu kwa uhuru na kukosoa kwa haki wagombea wetu. Baada ya hapo kuna mawili, turudi utumwani au tujikomboe. Uamuzi ni wetu ile Jumatano inayosubiriwa ya tarehe 28 Oktoba kuchagua UTUMWA au HAKI [emoji1535][emoji1535][emoji1535]
Huyu jamaa akipita Ni North Korea ya Afrika mashariki.Tuna siku 30 kamili za kuandika andika humu kwa uhuru na kukosoa kwa haki wagombea wetu. Baada ya hapo kuna mawili, turudi utumwani au tujikomboe. Uamuzi ni wetu ile Jumatano inayosubiriwa ya tarehe 28 Oktoba kuchagua UTUMWA au HAKI βπΏβπΏβπΏ
Hatutaki Magufuli aliyekwisha tuweka kwenye utumwa wakikoloni mweusi.Watanzania hatutaki Lissu anayetaka kuturudisha kwenye utumwa wa kuwaabudu mabeberu. Anasema ndiyo wanatulisha!!! Aibu kweli kubaki na manado ya kiutumwa na kuwahusudi wazungu.Tumeamua kabuki huru na JPM wetu. Mpe kura zote JPM
Lissu lazima tumpe.WATANZANIA TUNA JAMBO LETU OKTOBA 28. JAMBO HILO NI KUMPA KURA ZOTE LISSU.
Wasomi wote wanampensa Lissu.Safi kabisa ujumbe maridhawa kwa wapenda haki wote , labda mgonjwa wa akili ndio atachagua utumwa wa kihutu wa kijani kibichi .
hatuwezi kumchagua wakala wa mabeberuTuna siku 30 kamili za kuandika andika humu kwa uhuru na kukosoa kwa haki wagombea wetu. Baada ya hapo kuna mawili, turudi utumwani au tujikomboe. Uamuzi ni wetu ile Jumatano inayosubiriwa ya tarehe 28 Oktoba kuchagua UTUMWA au HAKI βπΏβπΏβπΏ
Aliyemuuliza mwenzake wa. kiume umeniota tuko kitandanihatuwezi kumchagua wakala wa mabeberu
Heheheee wasomi wote wako kwa Lissu. Rejea matokea ya Twaweza. Maskini ma mafisadi ndio wafuasi wa ccmHakuna msomi anayeweza kumpa kura Lissu. Kimbia haraka utoke huko brother. Usikubali kupoteza kura yako kama wewe ni msomi kweli.
Daaah lakini mbona hili sio jukwaa la jokes! au labda mie ndo nilikosea kwa kuamini kuwa hakuna kiumbe yeyote duniani including wanyama mwenye kufikiri hivyoWatanzania hatutaki Lissu anayetaka kuturudisha kwenye utumwa wa kuwaabudu mabeberu. Anasema ndiyo wanatulisha!!! Aibu kweli kubaki na mawazo ya kiutumwa na kuwahusudu wazungu.Tumeamua kabuki huru na JPM wetu. Mpe kura zote JPM
Kiwango cha elimu kumchagua Rais ingekuwa digrii CCM ishatoka madarakani zamani. Angalia wafuasi wengi wa CCM wako maeneo gani. Ujinga ndiyo mtaji wao. Kuna mΕomi anaweza kumsikiliza Polepole au Dr. Bashiru akiambiwa akahutubie UD anaweza kuongea ujinga anaongea kwenye mkusanyiko wa mbogamboga na watu wakaendelea kubaki ukumbini.Hakuna msomi anayeweza kumpa kura Lissu. Kimbia haraka utoke huko brother. Usikubali kupoteza kura yako kama wewe ni msomi kweli.
Member since 29-09-2020Watanzania hatutaki Lissu anayetaka kuturudisha kwenye utumwa wa kuwaabudu mabeberu. Anasema ndiyo wanatulisha!!! Aibu kweli kubaki na mawazo ya kiutumwa na kuwahusudu wazungu.Tumeamua kabuki huru na JPM wetu. Mpe kura zote JPM
Huna Hoja...sisi wananchi ndio tutakaoamua.hatuwezi kumchagua wakala wa mabeberu