Uchaguzi 2020 Vicensia Shule: Uamuzi ni wetu, Tuchague Utumwa au Haki

Chagua JPM. Achaneni na waongo. Huyu mgombea mwingine hana maadili.
Member since 29-09-2020.

Naona mpo wengi sana jitahidini muokoe jahazi.


JPM alidhani maflyover, mareli, ma-ndege ndio vitu vya kuombea kura. Kwa dunia ya leo hivyo vitu sio vya kutishia watu; hata watoto wanaviona kila siku kwenye Tv,simu,games nk
Watu wanataka furaha, amani, haki, heshima, shibe - kuishi bila hofu... wameyakosa haya kwa miaka mi5.
 
Watanzania hatutaki Lissu anayetaka kuturudisha kwenye utumwa wa kuwaabudu mabeberu. Anasema ndiyo wanatulisha!!! Aibu kweli kubaki na mawazo ya kiutumwa na kuwahusudu wazungu.Tumeamua kabuki huru na JPM wetu. Mpe kura zote JPM
Hatuwezi kumpa kura mtu mbaguzi, muuaji na katili JPM
 
Hatuwezi rudi misri kwa sababu ya "mabarabara"( kama mwenyewe anavyoongea)
 
Nadhani kwa spana anazowapiga Lissu mazwazwa wengi wanaweza kuamua kuondoka utumwani na kupigia kura UHURU.
Labda tuwaulize jee ndivyo mtakavyo Fanya?
Elitwege jingalao Wakudadavuwa MOTOCHINI Crimea johnthebaptist TandaleOne na wengineo

Lakini wapiga kura tunawajua sisi sio wahuni wa humu Never
Huyo wenu Akipata 20% Mjue Kashinda tena Mumpe na Tuzo
Kujazana upepo Hamjambo
Mtakalia Hivyo hivyo
Ila CCM Bado sana kuiondoa sio kizazi hiki cha Vibendera wa JF
 
Tujikomboe mkuu
 
Watanzania hatutaki Lissu anayetaka kuturudisha kwenye utumwa wa kuwaabudu mabeberu. Anasema ndiyo wanatulisha!!! Aibu kweli kubaki na mawazo ya kiutumwa na kuwahusudu wazungu.Tumeamua kabuki huru na JPM wetu. Mpe kura zote JPM
We TAGA' Upo!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…