Vichaa huona nini?

Vichaa huona nini?

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
301,577
Reaction score
754,412
Naumia sana ninapomuona mtu mwenye matatizo ya akili'(ufahamu), wengine huita vichaa ama wendawazimu. ... Baadhi yetu tuna tabia ya kuwafukuza na wakati mwingine kuwapiga kabisa.

KUMBUKA! Hawa nao ni binadamu wenye ndugu jamaa na marafiki! Wengine wana watoto... Ni jambo la kijamii linalohitaji tafakuri ya kina kwakuwa ni wachache MNO walizaliwa wakiwa vichaa.... Hujafa hujaumbika!!!!

40f7b05a246be052b1d5439f88b18dde.jpg

Turejee kwenye mada yetu! Vichaa wako wa aina tofauti wapole waoga wakorofi wababe micharuko nknk.... Yote kwa yote hufanya vitu tofauti na kawaida yaani hutenda kinyume na mazoea.

Kuna dunia ya vichaa! Kuna mawasiliano kati yao na vitu tusivyoviona sisi lakini wao wanaviona kusikia na hata kuhisi
Huwa tunasema nut zimelegea ama dish limecheza au tunawaita dakika tatu mbele.

Nut zikilegea kwenye gari ama mashine lazima kutatokea sauti za ajabu.Dish likicheza lazima hutapata picha clear.

Dakika tatu mbele manake hii ni foreseen.. Yani wanaona kabla ya wakati husika kufika... [emoji15] [emoji144] je hiki ndio chanzo cha uchizi wao?

Wanapokaa na kuongea pekeyao kwa mtazamo wetu... Naamini hawaongei pekeyao bali huwa na mawasiliano na viumbe visivyoonekana kwa macho yetu.

Kuna viwango vya ukichaa! Mtu hawezi kuwa kichaa kwa asilimia mia moja! Na ikitokea akawa hivyo hachukui round anakufa
Lazima kuna asilimia za ufahamu hubakishiwa.

03fe172fff231e0d8a209263a1e8e098.jpg
Ndio maana hasahau kula
Ndio maana mwili ukichoka atapumzika
Ndio maana usiku ukiingia atalala
Ndio maana hachani hela wala kutupa
Ndio maana akivuka barabara lazima achukue tahadhari japo si kwa asilimia mia moja
Ndio maana huhisi kupendwa ama kuchukiwa nknk
Yote kwa yote kuna jambo kubwa nyuma ya vichaa ambalo huwa hatujishughulishi nalo zaidi ya kuwa na mawazo hasi kila tuwaonapo!
fef750dd34a4c90eb777e8e0fdeeafb3.jpg
 
Ni kweli kiongozi..mimi pia nishaona watu wengi wakiwanyanyasa na kuwapiga wenye matatizo ya akili...Mungu awalinde waja wake hawa..nawahurumia sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna aliyeomba kuzaliwa kichaa wala hakuna wazazi wanaopenda kuwa na watoto vichaa(labda kwa masharti ya mganga) na hii ni roho ya ukatili mkubwa kabisa
dc5ee0f6248c40a0143301caed4ccc0b.jpg
hawa pamoja na uchizi wao lakini bado wana hisia za upendo na wanapendana hasa! Ukiangalia hizo picha nyingine hapo inasemekana mahusiano yao yalidumu mpaka wakapeana mimba! Tafsiri yake ninini? Wana kiwango cha ufahamu wamebakishiwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sababu kubwa ya kuwepo kwa Vichaa ni Kurogwa kunakotokana na wizi wa mali za watu ama laanatuulah.

Miaka ya nyuma kulikuwa na vichaa wengi mitaani hasa katika majiji makubwa ya Dsm, Arusha na Mwanza...ila sikuhizi hawapo na hata ukienda Mirembe huwakuti

Mnajua wanapelekwa wapi? [emoji1]
 
Mshana bhana, eti wakapeana mimba
 
Vipi wale vichaa ambao hupiga kelele mfano "wananiijia hao wamekuja na mafisi iiiii sitakii sitakiii"

Unalizungumziaje hili

_ where ever you are remember me_
Ni kweli kabisa kuna vitu huwa wanaviona hasa majitu ya kutisha... Huu ni ukichaa wa kulogewa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sababu kubwa ya kuwepo kwa Vichaa ni Kurogwa kunakotokana na wizi wa mali za watu ama laanatuulah.

Miaka ya nyuma kulikuwa na vichaa wengi mitaani hasa katika majiji makubwa ya Dsm, Arusha na Mwanza...ila sikuhizi hawapo na hata ukienda Mirembe huwakuti

Mnajua wanapelekwa wapi? [emoji1]
Vichaa vingine ni vya kiukoo sio kuògwa.Je unajua kuna vichaa wasomi hata maproffessor?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vichaa wengi wakibongo ni mambo yakulogana au ni Fuso za watu ziko barabarani.Hasa hawa watani zako wanapenda sana iyo kitu.ukienda kwenye nyumba zao kuna mitambo yakutosha imefichwa uko ndani.kuna mzee mmoja namfaham ana mitambo miwili hapo kwake ila ana hela mbaya.sasa ukiangalia iyo mitambo ilivyo ambao ni watoto wake kabisa na mali alizonazo mzee unapata mashaka sana.maana huwez kua na uwezo kifedha ukashindwa kumhudumia mtoto wako mwenye tatizo la akili.
 
Hiyo kitu ipo sana kwa wakinga na chaggas...anyway heri mbeya wanagonga nondo la kichwa basi, no more pains

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vichaa wengi wakibongo ni mambo yakulogana au ni Fuso za watu ziko barabarani.Hasa hawa watani zako wanapenda sana iyo kitu.ukienda kwenye nyumba zao kuna mitambo yakutosha imefichwa uko ndani.kuna mzee mmoja namfaham ana mitambo miwili hapo kwake ila ana hela mbaya.sasa ukiangalia iyo mitambo ilivyo ambao ni watoto wake kabisa na mali alizonazo mzee unapata mashaka sana.maana huwez kua na uwezo kifedha ukashindwa kumhudumia mtoto wako mwenye tatizo la akili.
Mchagga?
 
Vipi na kichaa cha ndugu yetu kilanja mkuu nasikia nae alishaonja joto ya mawe milembe

Swissme
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji125]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom