Vichaa wa siku hizi wamekuwa legelege sana, wapole na wavivu

Dah umenikumbusha kichaa mmoja kijijini kwetu miaka ya 2000-2002 alikuwa sijui mama sijui bibi yule. Siku moja alitukuta watoto tunacheza sijamwona wenzangu wakatimua mbio. Sasa ile nashtuka kumwona tayari kashanidaka mkono akapitisha kwenye papuchi lake kubwa, chafu na limejaa msitu wa mavuzi hatari! Sikulia ila niliona aibu sana huku wenzangu wakinicheka na kunitania kwa muda mrefu. Ilinichukua miaka kadhaa kuondoa kumbukumbu ile kichwani mwangu na vichwani mwa watoto wenzangu.

Baadaye alipotea hakuwahi kuonekana tena, zikavuma kuwa alichunwa ngozi kwenye msitu fulani mnene uliopo ndani ya kata ile.

Ni kweli kabisa vichaa wa zamani walikuwa watata sana, hawa wa leo hata bakora unamcharaza na anatimua mbia, na yowe juu.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
du!!!!!,,,,,,,,alikuwa na VUZIMA kama sili waya nini?
 
Kuna kichaa na mwendawazimu,hakuna kichaa mpole,kichaa no mawe tu kwenda mbele,hao wapole no wendawazimu
 
Kuna tofauti ya kichaa na mwendawazimu,ogopa kichaa akishika rungu sokoni
 
Oyaaa sio poa kweli kichaa anachekesha akiwa hatokei familia yako. Nikiwa singida kuna kichaa alikua anadamka asubuhi anakaa sehemu wanapita watoto wa chuo cha uhazili basi wakioita mwamba anawafuata kwa nyuma anajichukulia sheria mkononi akishakitupa anarudi pale alipokaa tena anatega yule mwamba kwa siku sijui alikua anapiga vingapi ila dah nilikua nacheka sana.
 
Naona wanalalamikia mpaka uhaba wa vichaa.
 
Kuna kichaa na mwendawazimu,hakuna kichaa mpole,kichaa no mawe tu kwenda mbele,hao wapole no wendawazimu
Ww mtu umenivunja mbavu! Hakuna tofauti yoyote kati ya kichaaa na mwendawazimu! Wote ni kitu kimoja tu ila Kuna wakati na wakati huvurugwa
 
Ma skanka labda unakuta mtu kakonda.zaman enz hizo za nyonya dam tuliwah kukimbia shule nzima kwa habar za kusambaa kuwa nyonya dam wapo.hivi aliyewah kupata taharuk ile ilikuwaje?
 
Ww mtu umenivunja mbavu! Hakuna tofauti yoyote kati ya kichaaa na mwendawazimu! Wote ni kitu kimoja tu ila Kuna wakati na wakati huvurugwa
Mwendawazimu havurugwi,kila siku mpole,kichaa Hana upole,yaani hata kuongea ni kisharishari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…