Tochuku
JF-Expert Member
- Aug 16, 2024
- 5,322
- 8,412
Embu ona kichekesho kama hiki
Padri anatoa maoni kuhusu mstaafu...gafla anapotea katika mazingira ya kutatanisha...ni mtu mzima na umri umeenda, ghafla wanampata porini vichakani, wakisema "amejiteka", kwamba ana madeni...
Umri wote Hadi utu uzima kuelekea uzeeni hajawah kupata stress ya madeni ndio amekuja kuipata uzeeni...? Na video zinaonesha jinsi alvyokua amebebwa Hadi amewekewa dripu, mtu katika Hali hio na uzee wote utu uzima huo anawezaje kujiteka?
Mtu ana madeni ana access na mapadri wenzie wengi tu , asiwaambie wamsaidie kamani kweli lakin achague kujitupa porini ..
Zile zama za kuwadanganya na kuwafanya watanzania wanaojielewa na wapenda haki wajinga zimeisha na zinaenda kupotea.
Padri huyo mzee wa watu alitekwa akaenda kutupwa huko kichakani, walivyoona kelele zimezidi na ukigusa katoliki umemgusa papa wa Roma Italia wakaenda kumchukua huko walikomtelekeza.
MLAANIWE. LAANA IWE JUU YENU.