Vichekesho vya TFF na Play-Offs za Daraja la Kwanza

Hata mimi bado sijaielewa tiefuefu yaan uliona wapi timu inashuka ligi uku inakuja chini inacheza mechi mbili inarudi ligi uku tena msimu huu huo daaaah ndio maana kila nikifatilia vya nyumbani ulaya pananivutia narudi
Yaani timu Kagera Sugar na Mwadui wamecheza ligi kuu na la kwanza kwa msimu mmoja na kurudi tena Ligi Kuu.
 
Acha kupotosha wolves haijaingia top6
 
Acha kupotosha wolves haijaingia top6
Whatever ni ya 7 ila hoja imeeleweka kwamba imepanda daraja imekua competitive hadi kuwa best team after "Top 6" kitu ambacho wasingeweza kabla hawajapanda daraja. Hivyo playoff sio kigezo cha kupima ubora wa timu inayopanda daraja.
 
TFF kuongozwa na wasiowahi kucheza soka mnategemea nini ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…