VICHWA PANZI FORUM

Vichwa panzi tutakua tukichat short short and clear.
 
sawa mkuu ili ungeuandika huu kwa mwandiko wa muasisi na ndugu Mwenyekiti Kichwa panzi,rafiki yake dula angefurahi sana
Kwamba???

Sijakupata hapo vizur mm kzma kichwa panzi.
 
sawa mkuu ili ungeuandika huu kwa mwandiko wa muasisi na ndugu Mwenyekiti Kichwa panzi,rafiki yake dula angefurahi sana
Ebu nipe maelekezo apo vizurii, niandike
 
Hivi panzi ana sifa gani ndiyo nirudi kuwafananisha na panzi
 
Duuh kweli huku vichwa panzi saa sita na nusu hii wewe unasema saa kumi na mbili.
Usijali mkuu nitaweka Alarm itaniamsha.
Hahahaaaa tunajua ukuwi.
 
Duuh kweli huku vichwa panzi saa sita na nusu hii wewe unasema saa kumi na mbili.
Usijali mkuu nitaweka Alarm itaniamsha.
Mwanaume kuweka alarm ni umama mwanaume wa kwel unatega bomu likilipula ndo unashtuka

Mi nipo na langu hapa litalipuka saa nane na nusu
 
Mkutane humu? Yule alipata GPA ya 32 chuo kikuucha cha SUA kilichopo Dodoma ni mwenzenu? Daah
 
Weekend imekaaje wakuuu
 
Ukuwi
Duuh kweli huku vichwa panzi saa sita na nusu hii wewe unasema saa kumi na mbili.
Usijali mkuu nitaweka Alarm itaniamsha.
 
Hapo ulipo saa ngapi isijeikawa ndo unatoka kwenye mabox.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…