Baba Swalehe
JF-Expert Member
- Jun 6, 2017
- 20,178
- 39,641
Imekaa kama vile inakimbilia monday atiiWeekend imekaaje wakuuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Imekaa kama vile inakimbilia monday atiiWeekend imekaaje wakuuu
Kulikofia Whales naona.Hapo naona Tufanye kuongea na pres da, kubadil siku
Iwe ikitoka juma2 ifate ijumaa.. wiki iwe na siku 3 tu.
Hii mida ya New ZealandKuna nn?
Ukuwi
Nini maana ya kuamberruty?
Itakua kumra mtu tigo, yani kumfanya mtu kinyume na maumbilee
Itakua ivo nadhan
Saa 12 imefika amkaNiambie mkuu.
Cheka kwa vituo mkuuHahah!
Cheka kwa vituo mkuu
Na hiyo emoji iambie iwe inapiga mswaki ...Sawa mkuu wangu [emoji16]
Saa 12 imefika amka
HahaaMwanaume kutega alarm ni umama
Mwanaume unatega bomu likilipuka ndo unashtuka