Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwanaume kutega alarm ni umamaHaaaaa! Weka alarm bwana wew..... Acha hzo
Kufa kawaida hii koment inatoka kuzimu satan kaniazma simu ndo nmelog inHapo mm nadhan.. Unakufa
safi mkuu nimekaribia kuna jukwaa ukienda unakuta wanachati wenyewe kwa wenyeweUkiona kuna majukwaa wanakutenga tenga, hawakusikilz vizurii
Wanajifanya wana yao.
We njoo huku kwa vichwa panzi
sawa mkuu ili ungeuandika huu kwa mwandiko wa muasisi na ndugu Mwenyekiti Kichwa panzi,rafiki yake dula angefurahi sanaKabisa mkuu,
Huku uliza chocho tupeane majibu ndio kauri mbiu.