Hayo yalisemwa na Waziri wa Ujenzi alipokuwa akipongeza ufufuaji wa reli ya meter gage kutoka Tanga to Kilimanjaro, Moshi and Arusha. Ifamike pia kuwa pamoja naujenzi wa SGR serikali pia inafufua reli zote za meter gage nchini Tanzania.
Kutokana na uchache wa vichwa vya treni kwenye meter gage serikali imeamua kuvinunua vichwa vile vya bandarini ilikuongeza nguvu kwenye reli za meter gage zinazo fufuliwa.
MAKALA MAHALUMU YA UFUFUAJI WA RELI YA METER GAGE KUTOKA TANGA HADI ARUSHA. VIVA Magufuli VIVA Tanzania