Vichwa vya treni vilivyotupwa Dar, kutumika kwenye reli ya METER GAGE na sio SGR kama anavyodai MK254

Vichwa vya treni vilivyotupwa Dar, kutumika kwenye reli ya METER GAGE na sio SGR kama anavyodai MK254

mulisaaa

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2017
Posts
6,969
Reaction score
7,027
Hayo yalisemwa na Waziri wa Ujenzi alipokuwa akipongeza ufufuaji wa reli ya meter gage kutoka Tanga to Kilimanjaro, Moshi and Arusha. Ifamike pia kuwa pamoja naujenzi wa SGR serikali pia inafufua reli zote za meter gage nchini Tanzania.

Kutokana na uchache wa vichwa vya treni kwenye meter gage serikali imeamua kuvinunua vichwa vile vya bandarini ilikuongeza nguvu kwenye reli za meter gage zinazo fufuliwa.


MAKALA MAHALUMU YA UFUFUAJI WA RELI YA METER GAGE KUTOKA TANGA HADI ARUSHA. VIVA Magufuli VIVA Tanzania
 
Ona huyu malenge anajiongelesha mwenyewe!
shutterstock_84783586-240x180.jpg
 
Naona hii habari imekugusa pabaya. Mk254 ndio dawa yako. Hayo mabogi yenu ni mabovu kweli
Usinilanginishe nahuo uchafu usiokuwa na ajira hapo Kenya by the name of MK254. Wakikuyu tatizo vichwa maji kama Uhuru
 
Haha ukiona ameanzisha thread yake mwenyewe, ujue ni kubaya
Jipe moyo mkikuyu uliye kosa matunzo. Nimefungua kujibu hoja na imefika. Labda kama upo eneo lisilokuwa na wifi iliutizame video. Najua you cant afford MB's in Nairobi. Nazikifika electrical trains ndo mtatambua Magufuli ni nani
 
Eroo, mimi narudi nyumbani Nkaimoronya. Miezi sita msituni lakini bado ona hii munyama naitwa akili ya mulisaaa. Shee, kanyoo roi? Usho!
nvangijn_img_0040-458x341.jpg
Mkikuyu jobless uliekosa matunzo. Naona hii ndokazi uliweza ku secure wewe, mama na dada yako hapo Nairobi. Then on saturday unapika changaa
 
Ukiangalia pesa inayo kusanywa Tz na matumizi yake halafu uangalie Kenya makusanyo yao na matumizi yake! nabaki tilalila
 
Kenya hali ni Mbaya zaidi yaani hata lecturers hawajalipwa miezi 3
 
Back
Top Bottom