Ekuweme
JF-Expert Member
- May 28, 2018
- 3,520
- 3,962
Huyo katibu ataweza kutekeleza ilani ya chama akamridhisha huyo mrembo kweli? Huyo mtoto Vicky bado mbichi kabisa kwa hiyo hata UHAKIKI anaopaswa kufanyiwa inabidi usiwe mvivu! Wasije vijana wakamsaidia kumpiga MTI huyo dada. Lakini anyway kila la heri