Vicky Kamata afunga Ndoa na Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango, Dk. Likwelile

Vicky Kamata afunga Ndoa na Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango, Dk. Likwelile

Hata hivyo ng'ombe akikonda hawezi kufanana na sungura (huwa tunajifariji hivi), kwa position yake si haba bado anazo mfukoni sema wazee wengi wa serikali hata kama apewe milioni 500 huwa zinaisha mdogomdogo
Tatizo unakuta hawa jamaa wameset traits za maisha ambazo ni za kufikirika badala ya uhalisia, kama hivi sado ya nyaya buku lakini yeye anasema za shoppers ndizo nzuri na bei yake ikuwa elfu 20 labda!
Any way kwa vile ni Dr. ataenda chuo chochote awe anapiga lecture kama kweli udokta wake haufanani na profesa mwenyekiti aka 'bwana yule'!
 
vick tena, mmewe kupangiwa kazi nyingine??? sasa wamefika nane wanaovizia kazi nyingine, Dau, Sefue............kazi ni kazi
 
kaoa mke wa bosi aliyemuweka pale na kaondolewa na simu ya Bosi kutoka kijijini. Vingine haviguswi bhana
 
Tatizo unakuta hawa jamaa wameset traits za maisha ambazo ni za kufikirika badala ya uhalisia, kama hivi sado ya nyaya buku lakini yeye anasema za shoppers ndizo nzuri na bei yake ikuwa elfu 20 labda!
Any way kwa vile ni Dr. ataenda chuo chochote awe anapiga lecture kama kweli udokta wake haufanani na profesa mwenyekiti!
Huyu ni Dr. wa ukweli, alinifundisha UD
 
Back
Top Bottom