Vicky Kamata afunga Ndoa na Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango, Dk. Likwelile

Vicky Kamata afunga Ndoa na Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango, Dk. Likwelile

sasa bro umezungumza sawa, lakini huyo katibu wenu mkuu hakusoma hizo habari za ajabuajabu za huyo dada? kujihusisha nae ndio kusema naye anahusika na habari za ajabuajabu vilevile ndio wakakutana....
Yakheee
.kwani kuna tatizo nzi kufia kwenye kidonda?[emoji12]
 
Tanzania ya viwanda kwa hakika inakuja kwa kasi. Hawa watendaji wetu wakishapata vitu vya kutuliza nyoyo zao kama hivi lazima watafanya kazi kwa nguvu zote! Tusisahau na kumuombea rais wetu pia kama alivyotuomba.
 
Back
Top Bottom