kivyako
JF-Expert Member
- Feb 2, 2012
- 14,340
- 12,055
hahaha! leoHiyo kazi ya mods umeianza lini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahaha! leoHiyo kazi ya mods umeianza lini?
Pongezi nyingi zikufikiehahaha! leo
Nimecheka sana. Wino mwekundu sio?hata atakapokuwa anapenyeza atambue kabisa mlango huo huo umepenywa na mutu mukubwa sana nchi hii,means kama ingekuwa kuna kadaftari kakusaini juu,angekuta sahihi nyekundu pale
Kwani Tanzania Daima ni upinzani?Hivi kweli Tazania Daima ndo imetoa hiyo habari kweli? Nina mashaka sana na upinzani kama habari zenyewe ndo hizi
Usikute vicky ndiye mwenye fedha kuliko huyo Dr.Ukiwa na fedha bwana, unapiga vitu vitamu tupu, hakuna disco vumbi hapo. Dah fedha noma.
Hili la kuendelea kupokea mshahara BOT ndiyo mjadala mzito na mkuu hasa nyakati hizi za kutumbua majipu? Hata kama hili sio lengo la mleta mada, kwanini tusitafute ukweli na wahusika watumbuliwe?Ndio mana bado anakula salary kutoka BOT
Nyie mademu ninyi nisikilezeni mimi!! Hivi kwa nini mnkuwa hamjiamini?!
!
Nisikilize mi...... Ngwea
Nimeshtuka kuona wanaume wengi humu wivu umewashika juu ya ndoa hii,
nimeendelea kupekua pekua nimegundua tena hawakupenda Vicky aolewe,
Sasa nimebaki najiuliza,
Walitaka waolewe wao? Oooouch!!!
Ama kweli Dunia ipo ukingoni.
Tena watu wenyewe ni watu wazima waliyopitia ya kupitia na hatimae kuchukua maamuzi waliyochukua!!!View attachment 331061
mkuu tunajadili watu? hailipi, tuwaache na yao , kila mtu ana makando yake.
Dokta yupo busy anafanya researchsasa bro umezungumza sawa, lakini huyo katibu wenu mkuu hakusoma hizo habari za ajabuajabu za huyo dada? kujihusisha nae ndio kusema naye anahusika na habari za ajabuajabu vilevile ndio wakakutana....
Duuu! mkuu Tanzania Daima liliandika habari ya heri kwa wanadoa hawa, ili ndoa yao iheshimiwe aliemdhalilisha Dr. ni WEWE kwa kuwa umetoa mambo yake ya SIRI HADHARANI hatukujua kuwa alikuwa na mahusiano na dada wa ofisi yake hapo chuo, loooh! kweli umewaonea gazeti kuwalaumu kutoa siri za watu, wa kulaumiwa kwa hilo ni wewe.Gazeti la Tanzania Daima likekwisha sasa ni Udaku tu, kwa nini hiyo habari hawakuikamilisha? Kwa nini hawatuambii kwamba marehemu Msanchi Simbeye hakuwa mke wa ndoa wa Dr na ndio maana hata hiyo harusi haikupata kibali cha kanisani. Kama vicky alibwagwa siku ya harusi na Dr. Ni mjane na wote ni wakristo tena wakatoliki, kwa nini hawakufungia hiyo ndoa kanisani? Je ni kweli Dr Likwelile hana mke wa ndoa? aliyezaa nae watoto? familia inayojulikana tangu wakati alipokua chuo kikuu kabla hata hajasemekana kuwa ni mume wa yule dada wa kwenye ofisi ya idara yake pale chuo kikuu? Je hakuna shauri linalohusu ndoa ya mhusika hapa ama kwenye vyombo vya dini, ama idara zinazohusika hata hili gazeti libebe habari isiyokamilika? Au tu walitaka kutoa umbea wa maisha ya watu, tena ya siri mbele ya jamii? wanamjengea ama kumdhalilisha katibu wetu mkuu? maana huyo dada hatumshangai kwa habari za ajabu ajabu,
Gazeti la Tanzania Daima likekwisha sasa ni Udaku tu, kwa nini hiyo habari hawakuikamilisha? Kwa nini hawatuambii kwamba marehemu Msanchi Simbeye hakuwa mke wa ndoa wa Dr na ndio maana hata hiyo harusi haikupata kibali cha kanisani. Kama vicky alibwagwa siku ya harusi na Dr. Ni mjane na wote ni wakristo tena wakatoliki, kwa nini hawakufungia hiyo ndoa kanisani? Je ni kweli Dr Likwelile hana mke wa ndoa? aliyezaa nae watoto? familia inayojulikana tangu wakati alipokua chuo kikuu kabla hata hajasemekana kuwa ni mume wa yule dada wa kwenye ofisi ya idara yake pale chuo kikuu? Je hakuna shauri linalohusu ndoa ya mhusika hapa ama kwenye vyombo vya dini, ama idara zinazohusika hata hili gazeti libebe habari isiyokamilika? Au tu walitaka kutoa umbea wa maisha ya watu, tena ya siri mbele ya jamii? wanamjengea ama kumdhalilisha katibu wetu mkuu? maana huyo dada hatumshangai kwa habari za ajabu ajabu,