Vicky Kamata afunga Ndoa na Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango, Dk. Likwelile

Vicky Kamata afunga Ndoa na Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango, Dk. Likwelile

NAHISI HUYU DK ANAITAMANI SEGEREAA AISEE ANAJUA KILICHOMFUNGA BABUNYEYA??
 
Mkuu umesahau kuwa tunajaribu kuishi maisha ya Kimagharibi ambayo hatuyawezi? Kiutamaduni mwanaume mwafrika anapaswa kuwa na zaidi ya mke mmoja! Hizi hoja mara ndoa halali, au haramu ni maneno tu. Ndio maana ndoa ni kama formality tu. Watu wako kwenye ndoa lakini michepuko ni sehemu ya maisha yao! Kufunga ndoa Africa ni kuhalalisha tu kuishi pamoja na mwenzi wako lakini haizuii mtu kuwa na mahusiano nje ya ndoa.
Nyani haoni kundule ....

I agree....na aliye na miaka 40 kwenda mbele na hana mke zaidi ya mmoja na awe wa kwanza kutupa jiwe kwa wanadamu hawa....
 
Mkuu umesahau kuwa tunajaribu kuishi maisha ya Kimagharibi ambayo hatuyawezi? Kiutamaduni mwanaume mwafrika anapaswa kuwa na zaidi ya mke mmoja! Hizi hoja mara ndoa halali, au haramu ni maneno tu. Ndio maana ndoa ni kama formality tu. Watu wako kwenye ndoa lakini michepuko ni sehemu ya maisha yao! Kufunga ndoa Africa ni kuhalalisha tu kuishi pamoja na mwenzi wako lakini haizuii mtu kuwa na mahusiano nje ya ndoa.
Nyani haoni kundule ....
Huu ndio ukweli tena ukweli mchungu...
 
iki ndo chanzo cha Kanata, haaaaaaaaaaaa! vick kamata kula mshahara B.O.T? au? nijuzeni wadau
 
Gazeti la Tanzania Daima likekwisha sasa ni Udaku tu, kwa nini hiyo habari hawakuikamilisha? Kwa nini hawatuambii kwamba marehemu Msanchi Simbeye hakuwa mke wa ndoa wa Dr na ndio maana hata hiyo harusi haikupata kibali cha kanisani. Kama vicky alibwagwa siku ya harusi na Dr. Ni mjane na wote ni wakristo tena wakatoliki, kwa nini hawakufungia hiyo ndoa kanisani? Je ni kweli Dr Likwelile hana mke wa ndoa? aliyezaa nae watoto? familia inayojulikana tangu wakati alipokua chuo kikuu kabla hata hajasemekana kuwa ni mume wa yule dada wa kwenye ofisi ya idara yake pale chuo kikuu? Je hakuna shauri linalohusu ndoa ya mhusika hapa ama kwenye vyombo vya dini, ama idara zinazohusika hata hili gazeti libebe habari isiyokamilika? Au tu walitaka kutoa umbea wa maisha ya watu, tena ya siri mbele ya jamii? wanamjengea ama kumdhalilisha katibu wetu mkuu? maana huyo dada hatumshangai kwa habari za ajabu ajabu,
Ukatoliki ni dini ya kupanga hata Papa Benedicti alisema hilo ndio maana kuna mizengwe isiyo na maana. Mwanaume hana mke na mwanamke hana mume lakini bado unazusha vizuizi. Ndo maana Dk Slaa akaenda kuoa Canada
 
Back
Top Bottom