Vicky ni mwanamke mrembo sana, DR. kapata mke ushaui wake wa bure, atulie aiheshimu ndoa yake na kwa kuwa kashaumizwa hadharani na watu wanamuhesabu kama mwanamke malaya, awaoneshe kuwa kuna maisha baada ya kuolewa henda ikawa mwanzo hakuwa na uhakika kama yuko tayari kuwa mke au anataka maisha ya kuonja onja. Aangalie watoto wake asifanye ya hovyo akaja kushindwa kuwakanya watakapo kuwa watu wazima. Ndoa na iheshimiwe na watu wote kila la heri MRS. DR.