Vicky Kamata afunga Ndoa na Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango, Dk. Likwelile

Vicky Kamata afunga Ndoa na Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango, Dk. Likwelile

Bora this tym kajifunza kufanya mambo kimya kimya
Alifanya promoo sana Ile ndoa nyingine
 
Nimeshtuka kuona wanaume wengi humu wivu umewashika juu ya ndoa hii,
nimeendelea kupekua pekua nimegundua tena hawakupenda Vicky aolewe,

Sasa nimebaki najiuliza,
Walitaka waolewe wao?

Ama kweli Dunia ipo ukingoni.
Men r very selfish
Wanaona mwanamke ukishaachika ndo utalia tuu maisha yako yote ila ye mwanaume ahh anapeta anachukua wengine
Sikuhz wanawake wanaangalia wawe na furaha pia
 
Ana ndoa halali ya nani??
Mkewe wa awali si amekufa?
So hana haki ya kuoa tena?
IMG_20160320_083752.JPG

mkuu tunajadili watu? hailipi, tuwaache na yao , kila mtu ana makando yake.
 
Gazeti la Tanzania Daima likekwisha sasa ni Udaku tu, kwa nini hiyo habari hawakuikamilisha? Kwa nini hawatuambii kwamba marehemu Msanchi Simbeye hakuwa mke wa ndoa wa Dr na ndio maana hata hiyo harusi haikupata kibali cha kanisani. Kama vicky alibwagwa siku ya harusi na Dr. Ni mjane na wote ni wakristo tena wakatoliki, kwa nini hawakufungia hiyo ndoa kanisani? Je ni kweli Dr Likwelile hana mke wa ndoa? aliyezaa nae watoto? familia inayojulikana tangu wakati alipokua chuo kikuu kabla hata hajasemekana kuwa ni mume wa yule dada wa kwenye ofisi ya idara yake pale chuo kikuu? Je hakuna shauri linalohusu ndoa ya mhusika hapa ama kwenye vyombo vya dini, ama idara zinazohusika hata hili gazeti libebe habari isiyokamilika? Au tu walitaka kutoa umbea wa maisha ya watu, tena ya siri mbele ya jamii? wanamjengea ama kumdhalilisha katibu wetu mkuu? maana huyo dada hatumshangai kwa habari za ajabu ajabu,
Mkuu umesahau kuwa tunajaribu kuishi maisha ya Kimagharibi ambayo hatuyawezi? Kiutamaduni mwanaume mwafrika anapaswa kuwa na zaidi ya mke mmoja! Hizi hoja mara ndoa halali, au haramu ni maneno tu. Ndio maana ndoa ni kama formality tu. Watu wako kwenye ndoa lakini michepuko ni sehemu ya maisha yao! Kufunga ndoa Africa ni kuhalalisha tu kuishi pamoja na mwenzi wako lakini haizuii mtu kuwa na mahusiano nje ya ndoa.
Nyani haoni kundule ....
 
Back
Top Bottom