ksny
JF-Expert Member
- Mar 30, 2016
- 1,704
- 1,694
Siyo kweli mwanaume mwafrika anapaswa kuwa na zaidi ya mke mmoja. Kwanza ukiiweka iwe lazima, basi ujuwe haitawezekana kwa sababu takwimu zinasema kuwa katika kila watu 100 wanaume ni 49 tu. Hii ina maana katika watu mia ni wanaume 2 tu watakaweza oa wanawake wawili. Ninachojuwa ni, waafrika ni ruksa mwanaume kuoa zaidi ya mwanamke mmoja na siyo kweli tunapaswa. Hata Waislamu, si lazima kuoa wanawake zaidi ya mmoja (wannne), lakini ni ruksa kuoa mpaka wanne kama natimiza masharti.I agree....na aliye na miaka 40 kwenda mbele na hana mke zaidi ya mmoja na awe wa kwanza kutupa jiwe kwa wanadamu hawa....