Vicky Kamata afunga Ndoa na Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango, Dk. Likwelile

Vicky Kamata afunga Ndoa na Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango, Dk. Likwelile

I agree....na aliye na miaka 40 kwenda mbele na hana mke zaidi ya mmoja na awe wa kwanza kutupa jiwe kwa wanadamu hawa....
Siyo kweli mwanaume mwafrika anapaswa kuwa na zaidi ya mke mmoja. Kwanza ukiiweka iwe lazima, basi ujuwe haitawezekana kwa sababu takwimu zinasema kuwa katika kila watu 100 wanaume ni 49 tu. Hii ina maana katika watu mia ni wanaume 2 tu watakaweza oa wanawake wawili. Ninachojuwa ni, waafrika ni ruksa mwanaume kuoa zaidi ya mwanamke mmoja na siyo kweli tunapaswa. Hata Waislamu, si lazima kuoa wanawake zaidi ya mmoja (wannne), lakini ni ruksa kuoa mpaka wanne kama natimiza masharti.
 
Kwa wanawake wote. Wazee wazuri sawa, bao moja yeye kalizika.Kwa life span ya Tanzania mzee kama huyo afte 20 years atakuwa amekufa, unakuwa mjane. Ng’ombe hazeeki maini ila vipi akizeeka? Unaanza kutafuta vijana wakukutoa hamu zako. Wakina Jackline Mengi, Nancy Sumari na huyu Vicky Kamata ni wahanga wa tatizo hili hapo baadae

Dah hii ndio JF kwa kweli kuna ma- great seers humu ... Ujane wa Vicky Kamata umetimia . Pole Vicky Likwelile
 
Kwa wanawake wote. Wazee wazuri sawa, bao moja yeye kalizika.Kwa life span ya Tanzania mzee kama huyo afte 20 years atakuwa amekufa, unakuwa mjane. Ng’ombe hazeeki maini ila vipi akizeeka? Unaanza kutafuta vijana wakukutoa hamu zako. Wakina Jackline Mengi, Nancy Sumari na huyu Vicky Kamata ni wahanga wa tatizo hili hapo baadae

[emoji2303][emoji2303][emoji2303][emoji2303][emoji2303][emoji2303]
 
Kwa hatua hiyo, Dk Likwelile amemfuta machozi mbunge huyo kijana baada ya ndoa yake ya awali aliyotarajia kuifunga na Charles Pai kukwama dakika za mwisho wakati wa maandalizi yote ya msingi kukamilika.
Pindua meza na changamoto zake
 
daaah
Kwa wanawake wote. Wazee wazuri sawa, bao moja yeye kalizika.Kwa life span ya Tanzania mzee kama huyo afte 20 years atakuwa amekufa, unakuwa mjane. Ng’ombe hazeeki maini ila vipi akizeeka? Unaanza kutafuta vijana wakukutoa hamu zako. Wakina Jackline Mengi, Nancy Sumari na huyu Vicky Kamata ni wahanga wa tatizo hili hapo baadae
 
Vicky pole sana, Mungu hatokuacha endelea kumshikilia hapo hapo! Haya magumu ni sehemu ya kukujenga kwa furaha kuu iliyo mbele yako.

Ukipata muda nenda Boko kwa masista fanya mfungo maalum wa Mt Ritha wa Kashia ili Mungu akufute machozi then songa mbele na Kristo usihangaike wala kujaa hofu. Najua upo humu, Mungu akubariki
 
Back
Top Bottom