Kweli mkuu ngoja asafishe nyota pengine huenda akampata mwanaume ambaye hana CV ya Vicky juu ya mahusiano yake na watu mbalimbali mashuhuri hapa nchini.I think kuna umuhimu wa kufanya hivyo kwani tukio lililomkuta ni kubwa.Tumuache jmn akasafishe nyota mheshimiwa wa watu.
Unamaanisha utapeli kwa Gwajima wa Flora Mbasha au?Yeye akae, ajipange na atafute ushauri nasaha toka kwa wataalam na siyo kupaparika!
Kanisani sawa, lakini matapeli wamejaa pia katika nyumba za kuabudia yakiwemo makanisa na misikiti. Huko kanisani anaweza ishia kufilisika kwa harakati za 'kusafishwa' nyota. Kila la kheri!
Sent from my iPhone using JamiiForums
aisee, mbona vicky ni mzuri tu jamani, sisi wanaume tumezid unyanyasaji aisee, ningekuwa karibu naye ningetupia ndoana aisee, mtoto wa kisukuma katulia kabisa huto jaman!
Mzuri kwa nje iila ndani mchafu!
Mzuri kwa nje iila ndani mchafu!
Atakuwa amejua CV yake ya uchafu wa mahusiano na madume mbalimbali maarufu.
aisee, mbona vicky ni mzuri tu jamani, sisi wanaume tumezid unyanyasaji aisee, ningekuwa karibu naye ningetupia ndoana aisee, mtoto wa kisukuma katulia kabisa huto jaman!