Vicky Kamata ajisalimisha kanisani Kusafisha Nyota ya Mapenzi na Ndoa iliyochafuka

Vicky Kamata ajisalimisha kanisani Kusafisha Nyota ya Mapenzi na Ndoa iliyochafuka

amakyasya

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2013
Posts
3,480
Reaction score
914
Msanii wa muziki na mbunge wa viti maalum wa jimbo la Geita kupitia CCM Vicky Kamata amejisalimisha kuombewa kanisa la EAGT kata ya Kalangalala wilaya ya Geita mkoani Geita ili kuondoa mikosi ya ndoa kuvurugika.
Jamani kusafisha nyota ya mapenzi si kwa waganga wa kienyeji tu bali kanisani ndo kwa uhakika zaidi kwingineko ni utapeli tu.
Kwa habari zaidi soma NIPASHE leo.
 
aisee, mbona vicky ni mzuri tu jamani, sisi wanaume tumezid unyanyasaji aisee, ningekuwa karibu naye ningetupia ndoana aisee, mtoto wa kisukuma katulia kabisa huto jaman!
 
I think kuna umuhimu wa kufanya hivyo kwani tukio lililomkuta ni kubwa.Tumuache jmn akasafishe nyota mheshimiwa wa watu.
 
I think kuna umuhimu wa kufanya hivyo kwani tukio lililomkuta ni kubwa.Tumuache jmn akasafishe nyota mheshimiwa wa watu.
Kweli mkuu ngoja asafishe nyota pengine huenda akampata mwanaume ambaye hana CV ya Vicky juu ya mahusiano yake na watu mbalimbali mashuhuri hapa nchini.
 
makanisa bandia hayo yametamalaki kwa sana ila ndo hivyo
 
Yeye akae, ajipange na atafute ushauri nasaha toka kwa wataalam na siyo kupaparika!
Kanisani sawa, lakini matapeli wamejaa pia katika nyumba za kuabudia yakiwemo makanisa na misikiti. Huko kanisani anaweza ishia kufilisika kwa harakati za 'kusafishwa' nyota. Kila la kheri!

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Unamaanisha utapeli kwa Gwajima wa Flora Mbasha au?
 
aisee, mbona vicky ni mzuri tu jamani, sisi wanaume tumezid unyanyasaji aisee, ningekuwa karibu naye ningetupia ndoana aisee, mtoto wa kisukuma katulia kabisa huto jaman!

Mzuri kwa nje iila ndani mchafu!
 
10552363_976835035664248_1613236826555558055_n.jpg

Kwa mara ya kwanza Mbunge wa Viti Maalum (UVCCM) Mkoa wa Geita, Vicky Kamata, amekiri kupata pigo mbele ya wachungaji kufuatia ndoa aliyotarajia kufunga Mei 24, mwaka huu kuvunjia.Kamata alitarajia kufunga ndoa na Charles Gadner lakini ndoa ya msanii huyo wa muziki wa kizazi kipya haikuweza kufungwa kama ilivyopangwa awali kutokana na sababu mbalimbali zilizojitokeza siku chache kabla ya harusi hiyo.

''Tukio hilo limenipa fursa ya kujifunza kuwatambua marafiki wa kweli na maaduzi zangu...na wapo waliojipiga vifua wakidai wao ndio wameingilia kuvuruga mpango huo nasema huo ni mpango wa mungu pekee hakuna cha mchawi au adui wala mwanasiasa anayeweza kutekeleza hilo,''alidai Kamata huku akibubujikwa na mchozi.

Katika maandalizi ya harusi hiyo yalidaiwa kuwa ni ya kifahari na yalitajwa kufikia Sh. milioni 96.

Pesa hainunui Upendo. mia
 
Si aoe dogo dogo mwingine tu maana siku hizi mahali wanajilipia raha sana.mia
 
Atakuwa amejua CV yake ya uchafu wa mahusiano na madume mbalimbali maarufu.

mahusiano na wanaume mbalimbali ndiyo uchafu? wewe umekuwa na mahusiano na wanawake wangapi mpaka sasa?
 
Hapo anatafuta gia ya kufunga ndoa kiholela huko hayo makanisa ya uchochoroni hayana hata masharti ndio maana utakuta hata mke/mume wa mtu anaweza oa mara ya pili bila kuchunguzwa.

Btw hakuna mchawi yeyote bali tabia na mienendo yako kama tabiazako ukijiheshimu utaheshimiwa mbona.
 
Hongera sana kumgeukia Yesu Kristo wa Nazarethi tuko jeshi kubwa.

hata imekuwa mtu akiwa ndani ya Kristo amekuwa kiumbe kipya ya kale yamepita tazama yamekuwa mapya.
 
Back
Top Bottom