BRUCE LEE
JF-Expert Member
- Dec 11, 2010
- 2,096
- 1,334
Unanikumbusha ya akina Mbasha na Gwanyima. Hakuna ukweli.
wizi mtupu hakuna kuokoka hapo, mbona uzinzi wao unaanikwa kila siku?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unanikumbusha ya akina Mbasha na Gwanyima. Hakuna ukweli.
Hahahahahaaaaaa You know alienda kumtembelea kwake.
Kama ni kweli hatari sana. Nataka kuoa hela tu, maana kazalishwa sana. Nasikia Ana watoto watatu.Kosa lake kutembea na mkuu wa nchi. Katuma watu wake wamemtishia jamaa na kumwambia aingie mitini la sivyo ataozea jela kama akina babu Seya. Ila kwa hapa mkuu wa kaya anafanya vibaya yy anataka amiliki wangapi wakati anae wa ndoa ndani. Hata kama amewapitia hao mabinti imefikia nao wanataka wawe na familia zao. Katika dunia hii hakuna raha kubwa kama uhuru, fedha ni matokeo. Ivyo mabinti na vijana acheni tamaa ya kupenda vya bwerere. Mfano mnayo Vicky Kamata kapewa kila kitu na mkuu wa kaya lakini matokeo yake mmeyaona, mkuu wa kaya amegoma asiolewe eti atamdhalilisha. Hivyo atabaki mama wa kuwa na bwana pasipo kuhalalishwa labda mkuu wa kaya mungu amchukue.
Kamwombe baba Glory!
Hawezi kukunyima,
wote si ndo wale wale!
Hahahahahaaaaaa You know alienda kumtembelea kwake.
Mkuu mleta mada,
naomba namba yake
Hivi wakati Mkulu anachepuka, mama wa WAMA anakuwa wapi? Mchepuko huwa ni dharura mara nyingi. Mkulu ahalalishe kabisa kabla bajeti haijaisha, ili dada yetu asihangaike.
Muokoke ili mpate waume wema, sio kuibukiana tuuuuu! Matokeo munaumizana
Sasa kule bungeni na riz huwa wanaitanaje??