Vicky Kamata amtungia wimbo mchumba wake

Vicky Kamata amtungia wimbo mchumba wake

Kosa lake kutembea na mkuu wa nchi. Katuma watu wake wamemtishia jamaa na kumwambia aingie mitini la sivyo ataozea jela kama akina babu Seya. Ila kwa hapa mkuu wa kaya anafanya vibaya yy anataka amiliki wangapi wakati anae wa ndoa ndani. Hata kama amewapitia hao mabinti imefikia nao wanataka wawe na familia zao. Katika dunia hii hakuna raha kubwa kama uhuru, fedha ni matokeo. Ivyo mabinti na vijana acheni tamaa ya kupenda vya bwerere. Mfano mnayo Vicky Kamata kapewa kila kitu na mkuu wa kaya lakini matokeo yake mmeyaona, mkuu wa kaya amegoma asiolewe eti atamdhalilisha. Hivyo atabaki mama wa kuwa na bwana pasipo kuhalalishwa labda mkuu wa kaya mungu amchukue.
Kama ni kweli hatari sana. Nataka kuoa hela tu, maana kazalishwa sana. Nasikia Ana watoto watatu.
 
Hivi wakati Mkulu anachepuka, mama wa WAMA anakuwa wapi? Mchepuko huwa ni dharura mara nyingi. Mkulu ahalalishe kabisa kabla bajeti haijaisha, ili dada yetu asihangaike.
 
Kuna watu wanapenda publicity! Hivi kwani angetulia tu kimya kimya si wabongo tungeshasahau ndani ya mwezi. Sasa anatoa na wimbo ili kila tukiskia tukumbuke aibu aliyopata!! Maisha ya maonyesho haya yana shida sana. Watu wanafanya mambo kwa ajili ya kuonekana kwa watu na si kwa ukweli uliyoko ndani yao!
I doubt hata kama palikua na true love hapo!

Some people bwana!!
 
Hivi wakati Mkulu anachepuka, mama wa WAMA anakuwa wapi? Mchepuko huwa ni dharura mara nyingi. Mkulu ahalalishe kabisa kabla bajeti haijaisha, ili dada yetu asihangaike.

Anakuwa yupo kwenye majukumu yake ya kiwama wama mkuu.
 
Ndoa ni taasisi inayojitegemea sana, haina mkurugenzi wala katibu mkuu anaekua kwenye nafasi ya juu kimaamuzi ili kuinusuru ama kuiboresha, haina mkufunzi mkuu useme utamhonga ili akupe GPA nzuri, nafsi ya kila mwanandoa ina dertemine mwelekeo wa taasisi hii.
Hata hivyo mheshimiwa ana kila sababu ya kumshukuru mungu kwa yote, mana kulazimisha jambo kama hili ni hatari kwake na familia yake. Angepaswa atunge wimbo wa kumshukuru mungu na sio vijembe mana bado maisha yanasonga hawez jua kesho anakutana na nini
 
Back
Top Bottom