Kosa lake kutembea na mkuu wa nchi. Katuma watu wake wamemtishia jamaa na kumwambia aingie mitini la sivyo ataozea jela kama akina babu Seya. Ila kwa hapa mkuu wa kaya anafanya vibaya yy anataka amiliki wangapi wakati anae wa ndoa ndani. Hata kama amewapitia hao mabinti imefikia nao wanataka wawe na familia zao. Katika dunia hii hakuna raha kubwa kama uhuru, fedha ni matokeo. Ivyo mabinti na vijana acheni tamaa ya kupenda vya bwerere. Mfano mnayo Vicky Kamata kapewa kila kitu na mkuu wa kaya lakini matokeo yake mmeyaona, mkuu wa kaya amegoma asiolewe eti atamdhalilisha. Hivyo atabaki mama wa kuwa na bwana pasipo kuhalalishwa labda mkuu wa kaya mungu amchukue.