Vicky Kamata asema marehemu mume wake "Alikuwa na vinyumba vya kawaida na msururu wa watoto!"

Hii inafanana na ile ya Jacque Mengi !!?? Au hii itakua na utofauti

Ngoja tusubirie muendelezo maana kaapa hatokubali kudhulumiwa kilicho chake
Tofauti ni ndogo

Huku Mke Alikufa kule Mke halali alipewa talaka
 
Amepost wapi niende nikamtukane huyo Malaya,
Kutoa uchi Ili awe mbunge nayo imekua shughuli ya jasho na damu?
Kama na yeye alikua na asset za kumtosheleza alifungua kesi ya nini?
 
Anasema hataki kumuaibisha aliyekuwa mume wake.

Alafu anaendelea kusema kwamba Baba yenu alikuwa na vinyumba vya kawaida na msululu wa watoto!

Sasa hapo si anamuaibisha aliyekuwa mume wake!
Silaha ya mwanamke ni mdomo wake
 
Ili upate cheo na hasa kuwa mbunge usipotoa cha mbele utatoa cha pembeni kama unacho. Chagua.
 
Amepost wapi niende nikamtukane huyo Malaya,
Kutoa uchi Ili awe mbunge nayo imekua shughuli ya jasho na damu?
Kama na yeye alikua na asset za kumtosheleza alifungua kesi ya nini?
Umezidi sasa. Punguza cheche ueleweke. Hatuendi hivyo.
 
Daah, huyu Mwanamke hatari sana
 
Amepost wapi niende nikamtukane huyo Malaya,
Kutoa uchi Ili awe mbunge nayo imekua shughuli ya jasho na damu?
Kama na yeye alikua na asset za kumtosheleza alifungua kesi ya nini?
Alifuta, ilikuwa Instagram
 

Ubaya wa Vicky umewekwa wazi......Lakini noana Likwelile hazungumzwi kabisa.....Alikuwa kiwembe balaa.....mtu wa watoto....wengine walikuwa wakishangaa kama ana mke kweli.....! ALIKUWA NA NDOA JINA....TU!........Akili za kichwani alijaliwa mno......Ni vichwa vichache kama alivyokuwa Marehemu Likwelile.......Lakini ni vigumu na mbaya kumsema maremu.....kwa vigezo vingi alishindwa kabisa kutawala msukumo wake wa ngono.....alikuwa na msururu wa vimwana.......acheni tu .....Vicky aliangukia pabaya......Wengi tulishangaa kusikia ana ndoa yake......! Marehemu alikua hasazi habakizi kilichoko ndani ya sketi! Ofisi nyingi alizofanya fanya hakubakiza kabisa! Familia yake hata jamaa yake inajua hilo! Ni somo kwa Vicky hata wengi wenye nafasi kama Marehemu, ambao kushibisha raha za mwili pasipo mpangilio....wakiondoka wanaacha aibu na maumivu kwa wengi......! Ni somo kubwa kila upande.
 
Daah, huyu Mwanamke hatari sana
Mkuu Azarel....Vicky ni mbaya, haipingiki......lakini unajua Maisha ya Marehemu lakini? Haukuishi kabisa kama ana ndoa.....Alitumia wadhifa wake hasa katika swala la kushibisha mahitaji yake ya ngono....! Alikuwa mtu wa Vimwana....Hata Marehemu alikuwa mtu hatari sana! Kukutana na Vicky ni hatari zilikutana! Aibu kwa Vicky hata familia na watoto.....Marehehemu alikuwa ni msomi, mchumi bora....usingetegemea mambo haya ya binafsi mitandaoni.
 
Angekaa kimya tu. Kuanza kudai alikuwa na vinyumba vya kawaida ni ujinga.



Mwacheni aseme auponye moyo wake.

Kisaikolojia akiongea inampa relief ya mtihani anayopitia.

Ilimradi hakosei ktk kunena kwake.

Msimfumbe mdomo!
 
Kunyamaza kimya ingetosha.



Huku akiumia ndani?

Kisaikolojia akiongea anajiponya Na kijipa nafuu kubwa kwenye moyo wake.

Mwacheni aseme ilimradi hatukani wala kukosea ktk kusema kwake.

Kusema , kulia huleta ahueni ya moyo ulokuwa na uzito au majeraha.
 
Cathe amezeeka nowadays, halafu sijui kajichonga shepu, ila usoni amekongoroka sana. Nae yalimsibu alichukua mume wa mtu akafariki akaenda kupigana makaburini

Sent from my TECNO CI6 using JamiiForums mobile app



[emoji38][emoji38][emoji38]

Nimecheka Kwa sauti [emoji38][emoji38]

Eti akaenda “ kupigana makaburini”

Nyie jamani! [emoji3]
 
Najua mnamuumiza sana.
Mwanadamu aliyezaliwa na mwanamke siku zake za kuishi ni chache sana nazo zimejaa taabu na dhiki. Baada ya kufa ni hukumu, tubu tengeneza mambo yako acha kulia lia.Alikuwa na msururu wa watoto, wewe unao wangapi?. Madanga na vimada dawa wao ndio hiyo tu.
 



Kwa hiyo huenda Kuna mashaka ktk uamuzi wa hiyo mirathi?

Aachilie naye bana mumewe mwenyewe anamjua udhaifu wake!
 
Sijui idadi ya watoto wengi aloacha
Ni ngapi yarabi toba?!

Kumbe Ndiyo ndio maana yule mkewe Marry ule mwili wa wembamba ule ulikuwa wa mawazo mazito?!

Halafu kuna wanawake wanaomba kuolewa Na wanaume wenye hela Eti [emoji3][emoji28]

Yaani upate Mwanaume mwenye hela Halafu utarajie awe Na wewe mwanamke mmoja tu kama mama yake?

Hao wanaume malofa tu na wanatoka na wakufafana nao malofa wenzao Na wana cheat sembuse mwenye riziki?

Sitetei uovu lakini wanawake waambi ukweli ili kuepuka unnecessary panics.
 
Kama mzee alikuwa na vinyumba kwa nini alifoji document akai-edit?

Bora ngebaki kimya kuliko huu msamaha uliojaa kejeli.

Vicky Tafuta mstaafu mwingine usahihishe tena ikibidi mwambie vitu vyote akuandike wewe kama mrithi.

Kakate rufaa acha kutafuta huruma kwa watoto wa marehem!
Jinga sana et vinyumba
Sijui swiming pool kaionea kwangu
Hovyo sana
 
Kwa hiyo huenda Kuna mashaka ktk uamuzi wa hiyo mirathi?

Aachilie naye bana mumewe mwenyewe anamjua udhaifu wake!
Hapana, ila sasa mwenyewe alijua atashinda ndio maana aliwambia watoto waende mahakamani ndiko watakapopata haki yao hakujua kama yatakuwa hivi. Ni kama alienda kuhalalisha dhuluma.

Mstari wa pili, tatizo sio kuniibia bwana au udhaifu wa bwana, tatizo ni kutaka kunitoa kabisa huku ukitamba huku na huku kuwa wewe ni mwamba!
 
Huyu mwanamke yuko sawa kabisa sasa mzee alikuwa anakula mzigo burebure wewe unajua ni namna gani vicky kamata alikuwa anajituma kwa bed kumpatia vitu adim mzee acheni ujinga alafu watoto inatakiwa watafute mali zao ni usen** kusubiri mzee afe mrithi mali..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…