Vicky Kamata asema marehemu mume wake "Alikuwa na vinyumba vya kawaida na msururu wa watoto!"

JF tegemea kuambiwa maneno hayo manake humu hakunaga mwenye maisha ya chini/wastani. Wote ni matajiri humu. Behind keyboards tycoons🤣
Mostly,tunaishi kwenye illusion.😁
 
Hii inafanana na ile ya Jacque Mengi !!?? Au hii itakua na utofauti

Ngoja tusubirie muendelezo maana kaapa hatokubali kudhulumiwa kilicho chake
Typical. Wadada kutaka kujipatia Mali kwa hadaa na ukatili.
 
vicky namjua ni kweli ana nyumba nyingi kuliko marehemu,hata pale karibu na denfrancee sinza ana ghorofa moja kubwa tu,kule kwembe pia alijenga pub kubwa sana lakini alishindwa kuiendesha
 
Nikisikia jina la Dk. Likwelile, nawakambuka rafiki zangu mzee Kamba, Rugunyamheto na Rutabanzibwa.

Nchi hii imejaliwa kuwa na vichwa ambavyo havitumiwi ipasavyo.

Residentura

Mkuu mtu kama Likwelile hata Mzee Kamba wametumika kikamilifu katika taifa hili. Kinachosikitisha Mzee Likwelile na kuwa kipanga, alishindwa kabisa kuyaendesha maisha yake inapohusiana na wanawake!

Ubongo wako ukitawaliwa na wanawake....unapunguza mno uwezo wako ( potential) wa kufikiri. Kwangu mimi Marehemu na Vicky wote waliingizana mkenge! Vicky aendelee na maisha....na watoto waanze upya, na wajifunze lipi bora la kuchukua toka kwa Marehemu, lipi la kuacha....Wameweza kumshinda Vicky......lakini wako wengi kwa kina mama mbalimbali...wajitahidi kugwana kwa haki tu! Maisha yaendelee....Na liwe somo kwetu sisi...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…