Joannah
JF-Expert Member
- May 8, 2020
- 20,921
- 49,014
Mostly,tunaishi kwenye illusion.😁JF tegemea kuambiwa maneno hayo manake humu hakunaga mwenye maisha ya chini/wastani. Wote ni matajiri humu. Behind keyboards tycoons🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mostly,tunaishi kwenye illusion.😁JF tegemea kuambiwa maneno hayo manake humu hakunaga mwenye maisha ya chini/wastani. Wote ni matajiri humu. Behind keyboards tycoons🤣
Typical. Wadada kutaka kujipatia Mali kwa hadaa na ukatili.Hii inafanana na ile ya Jacque Mengi !!?? Au hii itakua na utofauti
Ngoja tusubirie muendelezo maana kaapa hatokubali kudhulumiwa kilicho chake
HeeeeJF tegemea kuambiwa maneno hayo manake humu hakunaga mwenye maisha ya chini/wastani. Wote ni matajiri humu. Behind keyboards tycoons🤣
Kabisa, beyond controlMostly,tunaishi kwenye illusion.😁
Hujajuaga?!🤣Heeee
Kumbe wote sisi matajiri wa humu 🤣
Ni chenga kwelikweli. Anataka kuwa kama yle mke wa Lyatonga ama Jack wa Mengi. Wanataka wavune wasipopanda
vicky namjua ni kweli ana nyumba nyingi kuliko marehemu,hata pale karibu na denfrancee sinza ana ghorofa moja kubwa tu,kule kwembe pia alijenga pub kubwa sana lakini alishindwa kuiendesha
Nakuomba msamaha mume wangu kwa kuwa mimi ni Mkatoliki na Imani yangu inaniambia unaona na unajua kila kitu kinachoendelea kati yangu na wanao.
Najua muda utaongea lakini kwa kuwa nami ni binadamu naomba niseme yafuatayo! Ni kweli mimi ni kiumbe dhaifu na mwenye dhambi nyingi tu kama wengine.
Lakini wanangu kwanini mnapindisha ukweli? Nimedhulumu mali gani? Nimemfukuza nani? Nyumba ipi? Wanangu hata kama ni chuki iwe na kiasi basii.
Sitaki kumuaibisha mume wangu lakini mnanichochea na kunisukuma wanangu! Niambie Dunia ukweli wa maisha yangu na Baba yenu? Alikuwa na pesa kunizidi yes! Lakini alikuwa na asset gani ya maana kunizidi mimi?
Baba yenu alikuwa na vinyumba vya kawaida na msululu wa watoto! Kwanini alipokuwa na Mama zenu hakufanya maendeleo? Leo mnanichafua na kunipaka matope kwa jasho langu? Mungu mnamjua nyie watoto?
Nimetoka familia masikini sana, na nimefika hapa kwa jasho la damu. Naomba sana mshangilie ushindi wenu kwa heshima! Sijafukuza mtu! Sijadhulumu na sintakuja kudhulumu maishani kwangu.
Nafanya kazi usiku na mchana kwa kuwa najua sina wa kunipa cha bure. Baba yenu hata swimming pool ameikuta kwangu. Na baadae nikachimba kwa pesa zangu ili nifurahie uzee wangu mimi na yeye. Bahati Mbaya Mungu kamuita mapema ange enjoy na alikuwa anaenjoy. Najua mnamuumiza sana. Tulieni sihitaji hata kijiko ambacho siyo cha jasho langu. Jasho la mama zenu mtalifaidi na mimi jasho langu hayupo wa kunidhulumu.
Maisha ni hadhithi tu. [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Pia, soma=> Kesi ya Mirathi ya Dkt. Likwelile: Vicky Kamata ashindwa, mahakama yasema ndoa yao haikuwa halali
Nikisikia jina la Dk. Likwelile, nawakambuka rafiki zangu mzee Kamba, Rugunyamheto na Rutabanzibwa.
Nchi hii imejaliwa kuwa na vichwa ambavyo havitumiwi ipasavyo.
EehHujajuaga?!🤣