Vicky Kamata asema marehemu mume wake "Alikuwa na vinyumba vya kawaida na msururu wa watoto!"

Vicky Kamata asema marehemu mume wake "Alikuwa na vinyumba vya kawaida na msururu wa watoto!"

Amepost wapi niende nikamtukane huyo Malaya,
Kutoa uchi Ili awe mbunge nayo imekua shughuli ya jasho na damu?
Kama na yeye alikua na asset za kumtosheleza alifungua kesi ya nini?
Nashangaa
Hata mi ningemtukana mbwa huyu
 
Ubaya wa Vicky umewekwa wazi......Lakini noana Likwelile hazungumzwi kabisa.....Alikuwa kiwembe balaa.....mtu wa watoto....wengine walikuwa wakishangaa kama ana mke kweli.....! ALIKUWA NA NDOA JINA....TU!........Akili za kichwani alijaliwa mno......Ni vichwa vichache kama alivyokuwa Marehemu Likwelile.......Lakini ni vigumu na mbaya kumsema maremu.....kwa vigezo vingi alishindwa kabisa kutawala msukumo wake wa ngono.....alikuwa na msururu wa vimwana.......acheni tu .....Vicky aliangukia pabaya......Wengi tulishangaa kusikia ana ndoa yake......! Marehemu alikua hasazi habakizi kilichoko ndani ya sketi! Ofisi nyingi alizofanya fanya hakubakiza kabisa! Familia yake hata jamaa yake inajua hilo! Ni somo kwa Vicky hata wengi wenye nafasi kama Marehemu, ambao kushibisha raha za mwili pasipo mpangilio....wakiondoka wanaacha aibu na maumivu kwa wengi......! Ni somo kubwa kila upande.
Kwahiyo ameacha Mali bila mpangilio?
Mpangilio wa nn mkuu ? Si km hivyo watt wa mke wa ndoa wanapambana hapo na wameshinda?
 

Nakuomba msamaha mume wangu kwa kuwa mimi ni Mkatoliki na Imani yangu inaniambia unaona na unajua kila kitu kinachoendelea kati yangu na wanao.

Najua muda utaongea lakini kwa kuwa nami ni binadamu naomba niseme yafuatayo! Ni kweli mimi ni kiumbe dhaifu na mwenye dhambi nyingi tu kama wengine.

Lakini wanangu kwanini mnapindisha ukweli? Nimedhulumu mali gani? Nimemfukuza nani? Nyumba ipi? Wanangu hata kama ni chuki iwe na kiasi basii.

Sitaki kumuaibisha mume wangu lakini mnanichochea na kunisukuma wanangu! Niambie Dunia ukweli wa maisha yangu na Baba yenu? Alikuwa na pesa kunizidi yes! Lakini alikuwa na asset gani ya maana kunizidi mimi?

Baba yenu alikuwa na vinyumba vya kawaida na msululu wa watoto! Kwanini alipokuwa na Mama zenu hakufanya maendeleo? Leo mnanichafua na kunipaka matope kwa jasho langu? Mungu mnamjua nyie watoto?

Nimetoka familia masikini sana, na nimefika hapa kwa jasho la damu. Naomba sana mshangilie ushindi wenu kwa heshima! Sijafukuza mtu! Sijadhulumu na sintakuja kudhulumu maishani kwangu.

Nafanya kazi usiku na mchana kwa kuwa najua sina wa kunipa cha bure. Baba yenu hata swimming pool ameikuta kwangu. Na baadae nikachimba kwa pesa zangu ili nifurahie uzee wangu mimi na yeye. Bahati Mbaya Mungu kamuita mapema ange enjoy na alikuwa anaenjoy. Najua mnamuumiza sana. Tulieni sihitaji hata kijiko ambacho siyo cha jasho langu. Jasho la mama zenu mtalifaidi na mimi jasho langu hayupo wa kunidhulumu.

Maisha ni hadhithi tu. 🙏🙏🙏🙏

Pia, soma=> Kesi ya Mirathi ya Dkt. Likwelile: Vicky Kamata ashindwa, mahakama yasema ndoa yao haikuwa halali
Kabla sijaacha pombe....Mara kadhaa nimekunywa na Dk...huyu mwanamke anachoeleza kina UKWELI....Dk....alianza kupata muelekeo baada ya kuwa na Vicky......tulikuwa frustrated na tulikuwa tunafarijiana pale River side.......kila mtu akiwa na mapito yake...na kweli mimi nafahamu kati ya aliozaa nao ni ka binti flani ka Iringa.
Hivi mzee Mrema bado yupo.?
Cc.Dk.Mchomvu
 
Vicky Kamata, unepitia visanga vya kutosha,. Uneshakuwa mtu mzima tulia,... Kwa mujibu ya maandishi Yako hukufuata Mali Kwa Likwelile! Ndio maana ukamcchimbia na Bwawa ! Sasa Mali za Nini... Hizi ndoa za uzeeni, ukitangukiza Mali utaishia laana tu!
Move on ,ona Sasa hata ambao hatukujua kuwa uliw hi kutendwa Kwa kiwango Cha Dunia ...Siku ya Ndoa,Leo tumejua!By the way hivi kamshahara ka TANAPA mbona Si haba ..hebu tulia umalizie uzee!
Kwani yule jamaa aliyekuwa anam.....si yupo?🙂au hapashi kiporo.
Cc.Dodoma
 
Ukitumia K kama mtaji MWISHO WAKE NDIO HUU...
Kulipwa BOT na marupurupu kama mfanyakazi hukuweka kibubu!
Ubunge wa kuteuliwa Kwa mtaji wa K, bado tena hukuweka kibubu!
Hela za msomi Lukwelile tena hukuweka kibubu!
Wewe kweli una akili kama K yako!
 
Hii ngoma bado mbichiii. Vicky Kamata kumbe yuko serious sana na hii mirathi ya Dr. Likwelile.

Baada ya hukumu ya mahakama kutoka na kutomtambua yeye kama mke halali, kupitia ukurasa wake wa instagram ameandika haya:

"Post ya Muda mfupi.
Nakuomba msamaha mume wangu kwa kuwa mimi ni Mkatoliki na Imani yangu inaniambia unaona na unajua kila kitu kinachoendelea kati yangu na wanao. Najua muda utaongea lakini kwa kuwa nami ni binadamu naomba niseme yafuatayo!

Ni kweli mimi ni kiumbe dhaifu na mwenye dhambi nyingi tu kama wengine. Lakini wanangu kwanini mnapindisha ukweli? Nimedhulumu mali gani? Nimemfukuza nani? Nyumba ipi? Niliishi nyumba yoyote kati ya zile nilimkuta nazo na mama zenu?

Wanangu hata kama ni chuki iwe na kiasi basii. Sitaki kumuaibisha mume wangu lakini mnanichochea na kunisukuma wanangu! Niambie Dunia ukweli wa maisha yangu na Baba yenu? Alikuwa na pesa kunizidi yes! Lakini alikuwa na asset gani ya maana kunizidi mimi?

Alipokuwa na Mama zenu alifanya nini? Raymond bila aibu wala hofu ya Mungu ukaorodhesha majengo yangu yote ukakimblia mahakamani ni nani anaetaka kudhulumiwa hapo? Ni mimi au nyie?. Tuwe na kiasi wanangu, tunagombania vitu ambavyo tutakufa tuviache. Baba yenu alikuwa na nyumba za kawaida na msululu wa watoto.

Kwanini alipokuwa na Mama zenu hakufanya maendeleo? Je mmeniona popote katika mali ambazo sina jasho langu? Leo mnanichafua na kunipaka matope kwa uongo? Kwa jasho langu? Mungu mnamjua nyie watoto?

Nimetoka familia masikini sana, na nimefika hapa kwa jasho la damu. Naomba sana mshangilie ushindi wenu kwa heshima! Sijafukuza mtu! Sijadhulumu na sintakuja kudhulumu maishani kwangu.

Nafanya kazi usiku na mchana kwa kuwa najua sina wa kunipa cha bure. Baba yenu hata swimming pool ameikuta kwangu. Na baadae tukachimba tukiwa wote. Bahati Mbaya Mungu kamuita mapema.

Najua tunamuumiza sana. Tulieni sihitaji hata kijiko ambacho siyo cha jasho langu. Maisha ni hadhithi tu.

🙏🙏🙏🙏 Nimemaliza hamtanisikia tena juu ya jambo hili.
Kuna shida mahali
 
Back
Top Bottom