Vicky Kamata: Rais Samia hawezi kutibu majeraha, viongozi wa dini wagange mioyo ya watu, wamejeruhiwa

Sasa huko alifanya balaa hadi kutimuliwa na Askofu,alitaka kuvunja ndoa ya watu,mke akaja kulalamika kwa Askofu,na evidence zote ikawa ndiyo mwisho wa kufanya kazi pale.
Katoka mbali sana hadi kutishia kuvunja ndoa ya Amina Chifupa. Imagine Mpaka njia kapita nae. Ndo sasa akaja kujituliza kwa Jakaya. Akapelekwa London kusoma,alivyo kilaza huko akafeli ndo karudi Tanzania kupewa kazi BOT na JK.
 
Hiyo post aliyoiandika kuna mwenye nayo?
Mimi ninayo....niliitunza...ubaya wa printed word ndio huo...hata ukifuta suala litabaki Kama lilivyo...aliifuta lakini haikusaidia na haitakuja saidia...anapambana na marehemu ambaye hawezi kujibu...
 
Huyu si ndiye alikuwa anaimbisha bungeni kumsifu JPM? Wanasiasa wa Tz wengi wapo kimaslahi wasipo yapata wanageuka na kuonyesha sura zao.........kifupi ni wachumia Tumbo...kwa ujinga na huu upumbavu wa wanasiasa tunasafari ndefu maana wengi wanaitegemea siasa kimaisha
 
Katoka mbali sana hadi kutishia kuvunja ndoa ya Amina Chifupa. Imagine Mpaka njia kapita nae. Ndo sasa akaja kujituliza kwa Jakaya. Akapelekwa London kusoma,alivyo kilaza huko akafeli ndo karudi Tanzania kupewa kazi BOT na JK.

Pamoja na yote hayo alipopata hiyo kazi kamnyanyasa sana Mama yake Mzazi maana na yeye alikuwa muhudumu pale BOT Mwanza.Alikuwa anamuona kama mke mwenzie.

Unakumbuka lile sakata la ndoa iliyoishia hewani na Mwanaume akaingia mitini? Mama yake mzazi alikataa kata kata kuja kwa harusi sababu ya madharau aliyokuwa anamfanyia,ikabidi abebe watu baki kuja kusimama kwa nafasi ya Mama Mzazi,bahati mbaya na Harusi ikayeyuka hewani.
 
Mliopo madarakani mtuachie na Sisi huo ni ulaji kama ulaji mwingine, hakuna lingine na wala msijifanye eti wazalendo.Hakuna cha uzalendo ni ulaji tu na ni kazi kama ajira zingine.Tupeane zamu,miaka mitano unapisha mwingine huko ndo kugawana keki ya Taifa
 
Nakumbuka hadi alilazwa hospital.
 
Hii ishu ya harusi naikumbuka. Kama sikosei Jamaa aliingia mitini dakika za mwisho!
 
Watanzania kwa kudharau wazee, tunashida sana tuliambiwa hapa na hayati kingunge kuwa yule ni mnyapala, si mtu wa kuongoza, anafaa tu kusimamia vitu, nae asimamiwe, sasa tumekoma! Covid-19 imetupiga, hakujali,eti tupige nyungu, mazao kukosa masoko, sabb diplomasia mbovu ikiongozwa na kabudi, uhuru na usalama mdogo, utemi njenje!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…