Nyamizi
Platinum Member
- Feb 19, 2009
- 9,186
- 13,757
Lakini si alizaa na marehemu Likwelile?
Wale watoto wawili amezaa kabla ya kuolewa na Likwelile.Hakuwahi zaa nae,wale Watoto kila mmoja ana baba yake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lakini si alizaa na marehemu Likwelile?
Katoka mbali sana hadi kutishia kuvunja ndoa ya Amina Chifupa. Imagine Mpaka njia kapita nae. Ndo sasa akaja kujituliza kwa Jakaya. Akapelekwa London kusoma,alivyo kilaza huko akafeli ndo karudi Tanzania kupewa kazi BOT na JK.Sasa huko alifanya balaa hadi kutimuliwa na Askofu,alitaka kuvunja ndoa ya watu,mke akaja kulalamika kwa Askofu,na evidence zote ikawa ndiyo mwisho wa kufanya kazi pale.
Wangefanyaje Sasa mkuu?...huenda walikuwa wameshika makali na mkulu kashika mpini.Huyu Sawa na Shy Rose Bhanji tu, Jiwe aliwadhulumu lakini wakamsapoti.
Kwa Likwelile pia alifuata mali tu.Wale watoto wawili amezaa kabla ya kuolewa na Likwelile.Hakuwahi zaa nae,wale Watoto kila mmoja ana baba yake
Mimi ninayo....niliitunza...ubaya wa printed word ndio huo...hata ukifuta suala litabaki Kama lilivyo...aliifuta lakini haikusaidia na haitakuja saidia...anapambana na marehemu ambaye hawezi kujibu...Hiyo post aliyoiandika kuna mwenye nayo?
😂😂😂Naona kumepambazuka. Alianza mzee Diallo akasema jiwe alipaswa kuwa Milembe, sasa ni Vicky anasema jiwe alikuwa mnyama
Unyama mi nadhani ni ukatili uliopindukia .ova.tofauti ya mnyama na katili tafadhali naomba...ndio nitatoa comment yangu
Katoka mbali sana hadi kutishia kuvunja ndoa ya Amina Chifupa. Imagine Mpaka njia kapita nae. Ndo sasa akaja kujituliza kwa Jakaya. Akapelekwa London kusoma,alivyo kilaza huko akafeli ndo karudi Tanzania kupewa kazi BOT na JK.
Mliopo madarakani mtuachie na Sisi huo ni ulaji kama ulaji mwingine, hakuna lingine na wala msijifanye eti wazalendo.Hakuna cha uzalendo ni ulaji tu na ni kazi kama ajira zingine.Tupeane zamu,miaka mitano unapisha mwingine huko ndo kugawana keki ya TaifaAmesema kiongozi wa awamu ya tano (jiwe) alikuwa mtu katili sana kiasi cha kumfanya apate taabu sana.
Amewasihi watanzania kuishi kwa kutenda mema maana duniani tunapita. Jiwe alilewa madaraka.
Amemaliza kwa kusema pamoja na kufuta andiko lake la kumshutumu jiwe ni kweli jiwe aliniumiza sana.
Source: StarTv (Medani za Siasa) muda huu.
==========
Mwandishi: Hujaeleza mheshimiwa Vicky Kamata, umezunguka sana. Swali la msingi, ni kitu gani kigumu ama ni jambo gani, wakati gani ambao ulikumbana na jambo gumu ambalo ukitafakari unaona kabisa kidogo likutoe kwenye reli?
Vicky Kamata: Unazungumza wakati tayari niko bungeni au wakati natamani kuwa kwenye siasa?
Mwandishi: Tayari uko kwenye siasa
Vicky Kamata: Nikiwa bungeni, labda kile kipindi ambacho awamu ya tano iliingia, mimi ilikuwa tayari ndio nimeolewa, nina ndoa changa tu ikatokea bahati mbaya, siwezi kusema bahati mbaya, mwenye ofisi yake akisema pumzika nataka huyu akae hapa utalalamika? Huwezi kulalamika.
Hicho kilitokea kwa mume wangu, alikipokea very positively, binafsi nilikipokea kawaida kabisa na maisha yakawa mazuri kabisa lakini sasa wenzangu pale bungeni wakaanza kama kunitenga.
Chochote ninachoshauri naonekana ninashauri kwa sasabu nina hasira, kitu ambacho sikuwa nacho wala sikiwazii kwasababu mhusika mwenyewe hajalalamika, walihusisha kazi ya mume wangu na kazi yangu.
Tena wanaCCM wenzangu mpaka walikuwa wanachangia wazi kabisa yaani flani, anakupiga kijembe cha wazi kabisa kwamba una hasira, mume wako ametumbuliwa.
Mwandishi: Umekuwa mbungewa viti maalum kwa miaka 10 mkoa wa Geita, kwanini ukaja huku(Dar-Kibamba) ambako hukufanya chochote kwa ajili yao? Hofu yako ilikuwa nini Geita?
Kamata: Sikuwa na hofu isipokuwa katika majimbo yote ya Geita, yote yalikuwa na wabunge ambao ni wazuri, kaak zungu na wanafanya kazi nzuri kiasi huoni sababu ya kwenda kusukumana na Dotto Biteko, Kanyasu au uende kwa Msukuma
Mwandishi: Kwa mantiki hiyo unataka kutuambia Kibamba hakukuwa na mbunge anayefanya vizuri?
Kamata: 'Exactly' mimi ni CCM mbunge aliyekuwepo wakati ule alikuwa ni wa upinzani na niliona ilikuwa ni wakati sahihi wa kurudisha jimbo letu kwenye chama cha mapinduzi, Kibamba nilienda kwasababu jimbo lilikuwa upinzani na kule kwetu hakuna jimbo lolote lilikuwa upinzani, majimbo yote yalikuwa ni CCM na yalikuwa na wabunge wanapendwa
Mwandishi: Unataka kuwaaminisha watanzania, majimbo ambayo yanaongozwa na wabunge wa CCM ndio yanayopofanya vizuri
Kamata: Sijasema hivyo, inawezekana yapo majimbo ya wabunge wa CCM na hayafanyi vizuri lakini kwa mkoa wangu wa Geita wana sifa nzuri na wanafanya kazi nzuri.
Mwandishi: Ni kweli kwamba wanawake wengi walioko kwenye siasa wanatumika kwenye rushwa ya ngono?
Kamata: Mimi kama mbunge wa viti maalum nilipigiwa kura na wanawake wenzangu, sasa ukiniambia kuna rushwa ya ngono sijui hata inakuwaje lakini sidhani, siwezi kulijibia hilo.
Mwandishi: Hivi karibuni tulishuhudia andiko lako katika mitandao ya kijamii ambalo liliibua hisia za watanzania na nikiona kila mmoja akiipost kwa walichodai umetoa povu, nini ilikuwa dhamira ya andiko lako?
Kamata: Ningeshangaa usingeniuliza hilo swali, dhamira ya andiko langu ilikuwa ni kukumbusha watanzania wenzangu au mtu yoyote ambae angepita kwenye 'page' yangu kwamba hapa duniani sio mahali petu pa kudumu, tujitahidi kusihi vizuri ili tutakapoondoka tuache historia nzuri kwasababu hakuna atakaebaki hapa, hapa tumepewa muda mchache tu lakini katika muda huu mchache tuyafanye yale mzee Mwinyi amekuwa akituambia, kwamba maisha ni hadithi tu.
Mwandishi: Kwanini viongozi wengi wanatumia nafasi zao vibaya kama ulivyosema?
Vicky Kamata: Nadhani ni hulka ya mtu mwenyewe, walikuwepo viongozi ambao wapo kwa ajili ya kutesa watu wa Mungu na Mungu alijua jinsi ya kushughulika nao leo tunawasoma kama historia.
Mwingine anapambana apate madaraka fulani ili amkomeshe fulani.
Mwandishi: Athari yake katika taifa ni nini?
Vicky Kamata: Athari yake ni kutengeneza Taifa la watu wanafki, waongo, wavivu wasiojiamini na madhara yake pia ni makubwa sana kwasababu hakuna kitakachoendelea, nchi itasimama.
Juzi nimemuona askofu Arusha akimwambia mama, mama tibu majeraha, kwanini amesema hivyo? Ina maana kuna waliojeruhiwa, mimi nataka kuongezea hapo kwa askofu, sio mama atibu majeraha ila ninawaomba viongozi wa dini wagange mioyo ya watu wamejeruhiwa kwasababu ile post yangu imenipa vitu vya ajabu, nimepigiwa simu nyingi sana, kila mtu anaelezea maumivu aliyopitia katika kipindi fulani.
Kwa hiyo nataka kusema kwamba, sio mama Samia, mama Samia hawezi kutibu majeraha lakini viongozi wa dini wanaweza kutibu majeraha ya watu walioumizwa.
Kwa Likwelile pia alifuata mali tu.
Nakumbuka hadi alilazwa hospital.Pamoja na yote hayo alipopata hiyo kazi kamnyanyasa sana Mama yake Mzazi maana na yeye alikuwa muhudumu pale BOT Mwanza.Alikuwa anamuona kama mke mwenzie.
Unakumbuka lile sakata la ndoa iliyoishia hewani na Mwanaume akaingia mitini? Mama yake mzazi alikataa kata kata kuja kwa harusi sababu ya madharau aliyokuwa anamfanyia,ikabidi abebe watu baki kuja kusimama kwa nafasi ya Mama Mzazi,bahati mbaya na Harusi ikayeyuka hewani.
Hii ishu ya harusi naikumbuka. Kama sikosei Jamaa aliingia mitini dakika za mwisho!Pamoja na yote hayo alipopata hiyo kazi kamnyanyasa sana Mama yake Mzazi maana na yeye alikuwa muhudumu pale BOT Mwanza.Alikuwa anamuona kama mke mwenzie.
Unakumbuka lile sakata la ndoa iliyoishia hewani na Mwanaume akaingia mitini? Mama yake mzazi alikataa kata kata kuja kwa harusi sababu ya madharau aliyokuwa anamfanyia,ikabidi abebe watu baki kuja kusimama kwa nafasi ya Mama Mzazi,bahati mbaya na Harusi ikayeyuka hewani.
Nakumbuka hadi alilazwa hospital.
Hii ishu ya harusi naikumbuka. Kama sikosei Jamaa aliingia mitini dakika za mwisho!
Bora Membe hakuwa mnafki.
Ayaaaaaaaa Astaghafirullah!!!Huyu Vicky aliyekuwa anafirwa na mwarabu mmoja Mwanza mpaka ikafikia hatua Mkwere akataka kumyanganya lile ghorofa anyamaze kabisaaaa.
Huyu Dada nae faili lake sio zuri tangu kitambo.Hiyo hiyo,na yeye Bibie kwa hasira akachoropoa mimba ya Bwana Harusi