Walipewa vyeo lakini wameachiwa zawadi moja special.... ipi hiyoooWaliomkubalia aliwapa zawadi ya vyeo:
Ummy - uwaziri
Angela - Uwaziri, na mumewe ubalozi
Joketi - Ukuu wa Wilaya
Sundi - Meneja ukaguzi wa migodi
Waliokataa
Vicky - mumewe aliondolewa kwenye ukatibu mkuu wa wizara, na yeye daima kuwa kikaangoni.
Mbona JIWE kawapa wengi tu huo UKIMWI?Yule ni malaya kitambo alikuwa anatafuta madaraka kwa kuuza mbunye alibahatika kwa JK! Na kwa bahati nzuri ana UKIMWI na mme hana hasira zote kwa JPM! baada ya kumtoa mme wake kwenye ukatibu mkuu vizara ya fedha! Na ukifatilia wote wanotoa povu walizoea kula vya gizani!
Musiba, Sabaya, Makonda, Hapi ni ujanjaujanja na kujipendekeza kulikowainua, au ilikuwa enzi ya Mkapa?
Muulize JakayaUkweli mtupu ! hivi ccm iliokota wapi mtu yule ?
"Mimi sishauriwi, tena ukinishauri ndio unaharibu kabisaaa" alisikika mtu akisema[emoji28]alikuwa anajua kukera watu sana yule mzee,na alipenda kufanya hivo kila akipata nafasi
Umeongea point kubwa saana, ma ccm manafki hayaelewiupo sahihi,mi naona huu msemo wa duniani tunapita 7unatumiwa vibaya,jiwe alikuwa katili ndio na alijua atapita tu so kifo kisitumiwe kama kumsimanga mtu
ya jiwe yameisha watu wamuache tuendelee na mengine hata wakisema the Guy is no more na hasikii chochote
bora Lissu na kina Lema na Mbowe walimpa za uso akiwa hai na alizisikia,kusema mtu hayupo hakubadili chochote
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Na angekuwa Magufuli hajafa hata angemsifia, huku moyoni anaumia.
Atasemwa hata mwisho wa dunia, maana madhara aliyowaachia watu ni ya kudumu.upo sahihi,mi naona huu msemo wa duniani tunapita 7unatumiwa vibaya,jiwe alikuwa katili ndio na alijua atapita tu so kifo kisitumiwe kama kumsimanga mtu
ya jiwe yameisha watu wamuache tuendelee na mengine hata wakisema the Guy is no more na hasikii chochote
bora Lissu na kina Lema na Mbowe walimpa za uso akiwa hai na alizisikia,kusema mtu hayupo hakubadili chochote
Mume wake Vick kamata alimwonea nani?Huyu naye au alikuwa miongoni mwa wanufaika wa Kikwete?
Mbona hamusahau Jiwe?
Swala kufa kila mtu atakufa,mbona kifo Cha Magufuli anakiona Kama adhabu?
Mbona mme wake alishakufa naye alionea watu ndo maana alikufa?
Hovyo kabisa.
Nenda kawaulize HazinaMume wake Vick kamata alimwonea nani?
Na hapa je? She is just frustrated na huu ni unafiki
Wengine ni wadudu au?Anasema ukweli lazima usemwe jiwe alikuwa mnyama.
Kuna Mzee tunaishi nae mtaani. Huyu Mzee ni Kada maarufu wa CCM hapa mtaani kwetu. Kwa miaka mingi amekuwa mtetezi wa CCM. Hivi sasa Mzee yule kaamua kupiga kimya. Kilichomfanya awe mnyonge kwa Chama chake ni namna kinavyofanya maamuzi yake kwa sasa. Akatolea mf suala dogo la Wamachinga: Waliotoa ruhusa hata na kuwapatia vitambulisho ni CCM. Waliotoa tamko la kuwaondoa ni CCM ile ile. Sasa tunafuata ya Chama au mawazo ya mtu binafsi??
Mama ameonekana akijitahidi kuyaendeleza yale yote yaliyoasisiwa na mtangulizi wake lkn wakati huo huo akichomekea yakwake ili nae aweke alama kwenye Uongozi wake.
Amesema kitendo hiki kimefanya kuonekane Makundi makubwa ndani ya Chama. Yaani kundi la mwendazake linalowatetea Wamachinga.
Kundi la pili ni la Mama linalopingana na Wamachinga. Na kundi la tatu ni la Ndugai ambalo halina upande Bali wao wanasubiri mshindi wamuunge mkono.
Amesema kundi la Ndugai ndilo kundi baya mno kwani wao ndio wachochezi wa makundi yale mawili yenye nguvu. Yaani wanaliendesha kundi lao kwa siasa za kinafiki.
Kwa mtizamo huo kwangu mimi nakiona Chama changu kipo gizani. Hivyo acha niendelee kukaa kimya.
Swali langu ni Je kweli kuna haya makundi ndani ya CCM????
Aliwaonea Hazina? Nyosha maneno hii ni JFNenda kawaulize Hazina
Bwashee kila zama na kitabu chake!Hakikisha hili swali linamfikia johnthebaptist. Analo jibu.
Amesema kiongozi wa awamu ya tano (jiwe) alikuwa mtu katili sana kiasi cha kumfanya apate taabu sana.
Amewasihi watanzania kuishi kwa kutenda mema maana duniani tunapita. Jiwe alilewa madaraka.
Amemaliza kwa kusema pamoja na kufuta andiko lake la kumshutumu jiwe ni kweli jiwe aliniumiza sana.
Source: StarTv (Medani za Siasa) muda huu.