Vicky Kamata: Rais Samia hawezi kutibu majeraha, viongozi wa dini wagange mioyo ya watu, wamejeruhiwa

Vicky Kamata: Rais Samia hawezi kutibu majeraha, viongozi wa dini wagange mioyo ya watu, wamejeruhiwa

Waliomkubalia aliwapa zawadi ya vyeo:

Ummy - uwaziri
Angela - Uwaziri, na mumewe ubalozi
Joketi - Ukuu wa Wilaya
Sundi - Meneja ukaguzi wa migodi

Waliokataa

Vicky - mumewe aliondolewa kwenye ukatibu mkuu wa wizara, na yeye daima kuwa kikaangoni.
Walipewa vyeo lakini wameachiwa zawadi moja special.... ipi hiyooo
..ooh....oohh....alishawapa...........
 
Yule ni malaya kitambo alikuwa anatafuta madaraka kwa kuuza mbunye alibahatika kwa JK! Na kwa bahati nzuri ana UKIMWI na mme hana hasira zote kwa JPM! baada ya kumtoa mme wake kwenye ukatibu mkuu vizara ya fedha! Na ukifatilia wote wanotoa povu walizoea kula vya gizani!
Mbona JIWE kawapa wengi tu huo UKIMWI?
 
[emoji28]alikuwa anajua kukera watu sana yule mzee,na alipenda kufanya hivo kila akipata nafasi
"Mimi sishauriwi, tena ukinishauri ndio unaharibu kabisaaa" alisikika mtu akisema
 
upo sahihi,mi naona huu msemo wa duniani tunapita 7unatumiwa vibaya,jiwe alikuwa katili ndio na alijua atapita tu so kifo kisitumiwe kama kumsimanga mtu
ya jiwe yameisha watu wamuache tuendelee na mengine hata wakisema the Guy is no more na hasikii chochote
bora Lissu na kina Lema na Mbowe walimpa za uso akiwa hai na alizisikia,kusema mtu hayupo hakubadili chochote
Umeongea point kubwa saana, ma ccm manafki hayaelewi
 
upo sahihi,mi naona huu msemo wa duniani tunapita 7unatumiwa vibaya,jiwe alikuwa katili ndio na alijua atapita tu so kifo kisitumiwe kama kumsimanga mtu
ya jiwe yameisha watu wamuache tuendelee na mengine hata wakisema the Guy is no more na hasikii chochote
bora Lissu na kina Lema na Mbowe walimpa za uso akiwa hai na alizisikia,kusema mtu hayupo hakubadili chochote
Atasemwa hata mwisho wa dunia, maana madhara aliyowaachia watu ni ya kudumu.
Unasema vipi kuhusu wajane, yatima,waliofukuzwa Kazi kwa uonevu,waliofukuzwa chuo dodoma ,waliobomolewa nyumba zao,bambikwa kesi,filisiwa,porwa pesa zao.Acha watu watoe machungu yao.
KILA mtu uandika kitabu chake kisomwaje akiondoka.Kitabu cha hittler,iddi Amin, mobutu si SAwa na kitabu cha bobmarley,mama teresa, Mandela.
Yote ni funzo kwa walio hai.
 
Huyu naye au alikuwa miongoni mwa wanufaika wa Kikwete?
Mbona hamusahau Jiwe?
Swala kufa kila mtu atakufa,mbona kifo Cha Magufuli anakiona Kama adhabu?
Mbona mme wake alishakufa naye alionea watu ndo maana alikufa?
Hovyo kabisa.
Mume wake Vick kamata alimwonea nani?
 
Na hapa je? She is just frustrated na huu ni unafiki



Huyo ni stereotype ya CCM. Unafiki ni lazima. Na hajabadilika. Kipondo cha jiwe kweli alikipata. Hajadanganya. LAKINI, katika jamii ya wastaarabu mtu wa aina hiyo alipaswa kuwa kimya.

Ni wazi kuwa Magufuli angebadili mtazamo akamuingiza katika “himaya” yake, nyimbo sampuli hiyo ndio zingeshamiri na wapinzani/wakosoaji wangepashwa hasa. Sasa sijui tatizo lilikuwa ni Jiwe kutokuwa na compromise kwenye kiwango cha weupe?
 
Kuna Mzee tunaishi nae mtaani. Huyu Mzee ni Kada maarufu wa CCM hapa mtaani kwetu. Kwa miaka mingi amekuwa mtetezi wa CCM. Hivi sasa Mzee yule kaamua kupiga kimya. Kilichomfanya awe mnyonge kwa Chama chake ni namna kinavyofanya maamuzi yake kwa sasa. Akatolea mf suala dogo la Wamachinga: Waliotoa ruhusa hata na kuwapatia vitambulisho ni CCM. Waliotoa tamko la kuwaondoa ni CCM ile ile. Sasa tunafuata ya Chama au mawazo ya mtu binafsi??

Mama ameonekana akijitahidi kuyaendeleza yale yote yaliyoasisiwa na mtangulizi wake lkn wakati huo huo akichomekea yakwake ili nae aweke alama kwenye Uongozi wake.

Amesema kitendo hiki kimefanya kuonekane Makundi makubwa ndani ya Chama. Yaani kundi la mwendazake linalowatetea Wamachinga.
Kundi la pili ni la Mama linalopingana na Wamachinga. Na kundi la tatu ni la Ndugai ambalo halina upande Bali wao wanasubiri mshindi wamuunge mkono.

Amesema kundi la Ndugai ndilo kundi baya mno kwani wao ndio wachochezi wa makundi yale mawili yenye nguvu. Yaani wanaliendesha kundi lao kwa siasa za kinafiki.

Kwa mtizamo huo kwangu mimi nakiona Chama changu kipo gizani. Hivyo acha niendelee kukaa kimya.

Swali langu ni Je kweli kuna haya makundi ndani ya CCM????

Hakikisha hili swali linamfikia johnthebaptist. Analo jibu.
 
Tunataka katiba mpya inayosema raisi asiyetii katiba apigwe chini fasta. Magufuli hakutakiwa ikulu hata kwa dakika moja
Amesema kiongozi wa awamu ya tano (jiwe) alikuwa mtu katili sana kiasi cha kumfanya apate taabu sana.

Amewasihi watanzania kuishi kwa kutenda mema maana duniani tunapita. Jiwe alilewa madaraka.

Amemaliza kwa kusema pamoja na kufuta andiko lake la kumshutumu jiwe ni kweli jiwe aliniumiza sana.

Source: StarTv (Medani za Siasa) muda huu.
 
Back
Top Bottom