Vicky Kamata: Rais Samia hawezi kutibu majeraha, viongozi wa dini wagange mioyo ya watu, wamejeruhiwa

Vicky Kamata: Rais Samia hawezi kutibu majeraha, viongozi wa dini wagange mioyo ya watu, wamejeruhiwa

Waliomkubalia aliwapa zawadi ya vyeo:

Ummy - uwaziri
Angela - Uwaziri, na mumewe ubalozi
Joketi - Ukuu wa Wilaya
Sundi - Meneja ukaguzi wa migodi

Waliokataa

Vicky - mumewe aliondolewa kwenye ukatibu mkuu wa wizara, na yeye daima kuwa kikaangoni.
 
Huyu naye au alikuwa miongoni mwa wanufaika wa Kikwete?
Mbona hamusahau Jiwe?
Swala kufa kila mtu atakufa,mbona kifo Cha Magufuli anakiona Kama adhabu?
Mbona mme wake alishakufa naye alionea watu ndo maana alikufa?
Hovyo kabisa.
Hazungumzii kufa ni adhabu bali usiishi kama hutakufa, kama vile wewe ni binadamu kuliko wengine.
 
Huyu naye au alikuwa miongoni mwa wanufaika wa Kikwete?
Mbona hamusahau Jiwe?
Swala kufa kila mtu atakufa,mbona kifo Cha Magufuli anakiona Kama adhabu?
Mbona mme wake alishakufa naye alionea watu ndo maana alikufa?
Hovyo kabisa.
Niza, Kuna watu walifurahia uwepo wake na sasa wanasema mema aliyoyanya, kuna watu waliumia na sasa wanasema mabaya waliofanyiwa.
 
Ofcourse kama aliishi kama maraika enzi za mkwere kiujanjaujanja lazima aliipata joto ya jiwe kwa kuishi kama shetwani😀😀😀! Na ndio bado, jiwe namba 2 napiga jalamba kumpokea huyu mama maana hawezi kutuvusha!
Amesema kiongozi wa awamu ya tano (jiwe) alikuwa mtu katili sana kiasi cha kumfanya apate taabu sana.

Amewasihi watanzania kuishi kwa kutenda mema maana duniani tunapita. Jiwe alilewa madaraka.

Amemaliza kwa kusema pamoja na kufuta andiko lake la kumshutumu jiwe ni kweli jiwe aliniumiza sana.

Source: StarTv (Medani za Siasa) muda huu.
 
Mnafki sana huyu.Si aliwahi hadi kuimba bungeni wimbo wa kumsifu Magufuli. Kipindi anatafuta kura za maoni Kibamba kwenye poster zake si alikuwa anamsifia Magufuli ?.
Maoni juu ya mtu huwa yanabadilika kadri muda unavyoenda,kwakuwa mtu hutenda na katika kutenda kuna maeneo yanaweza kukugusa tofauti tofauti kadri muda wa utendaji unavyoenda,hivyo maoni ya mtu juu ya mamlaka au madraka yanaategemea na mambo anayofanya na muda aliohudumu.
Huenda mwanzo alimuona tofauti na baadae,na huu ndiyo ubinadamu,huwezi kuwa sawa muda wote.
 
Opportunist mzuri, sasa Jiwe alimpiga chini mumewe ambapo yeye alijiegesha mpaka akafa. Ndio maana ya kelele zote hizo.
Yule ni malaya kitambo alikuwa anatafuta madaraka kwa kuuza mbunye alibahatika kwa JK! Na kwa bahati nzuri ana UKIMWI na mme hana hasira zote kwa JPM! baada ya kumtoa mme wake kwenye ukatibu mkuu vizara ya fedha! Na ukifatilia wote wanotoa povu walizoea kula vya gizani!
 
Arudi kwenye muziki

Aache kulialia,au anatafuta cheo cha kupewa

Ova
 
Back
Top Bottom