Drifter
JF-Expert Member
- Jan 4, 2010
- 5,122
- 5,104
Wise point. Lakini hata yeye alishindwa kuiishi wisdom yake kikamilifu. Hakuwa tayari kukosolewa akiwa hai. Sio kukosolewa tu, alikuwa hajibiwi hata akitoa tuhuma za mtu hadharani.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wise point. Lakini hata yeye alishindwa kuiishi wisdom yake kikamilifu. Hakuwa tayari kukosolewa akiwa hai. Sio kukosolewa tu, alikuwa hajibiwi hata akitoa tuhuma za mtu hadharani.
alizoea kufumuliwa marinda na wa awam ya nne. Akajipendekeza kwa jiwe afumuliwe tena ili apewe kacheo, jiwe kamtema nje. Sasa analia nini? Alizoea kubebwa na kikwete, jiwe alikuwa habebi malaya.Mnafki sana huyu.Si aliwahi hadi kuimba bungeni wimbo wa kumsifu Magufuli. Kipindi anatafuta kura za maoni Kibamba kwenye poster zake si alikuwa anamsifia Magufuli ?.
Tatizo la Vicky anazani kila kiongozi anamtaka ili amtunze na kumpa cheo, ujinga ule alikuwa anauweza JK na ndiyo maana nchi ilimshinda.Amesema kiongozi wa awamu ya tano (jiwe) alikuwa mtu katili sana kiasi cha kumfanya apate taabu sana.
Amewasihi watanzania kuishi kwa kutenda mema maana duniani tunapita. Jiwe alilewa madaraka.
Amemaliza kwa kusema pamoja na kufuta andiko lake la kumshutumu jiwe ni kweli jiwe aliniumiza sana.
Source: StarTv (Medani za Siasa) muda huu.
Huyo mdada mpumbavu kabisa. Anaamini yeye ni The Chosen One kwamba kila uongozi ale good time! Kwanza ana bahati, nikishika madaraka , atamfuata mumewe!!!Huyu naye au alikuwa miongoni mwa wanufaika wa Kikwete?
Mbona hamusahau Jiwe?
Swala kufa kila mtu atakufa,mbona kifo Cha Magufuli anakiona Kama adhabu?
Mbona mme wake alishakufa naye alionea watu ndo maana alikufa?
Hovyo kabisa.
Huyu naye au alikuwa miongoni mwa wanufaika wa Kikwete?
Mbona hamusahau Jiwe?
Swala kufa kila mtu atakufa,mbona kifo Cha Magufuli anakiona Kama adhabu?
Mbona mme wake alishakufa naye alionea watu ndo maana alikufa?
Hovyo kabisa.
Huyo mdada mpumbavu kabisa. Anaamini yeye ni The Chosen One kwamba kila uongozi ale good time! Kwanza ana bahati, nikishika madaraka , atamfuata mumewe!!!
Mnafki sana huyu.Si aliwahi hadi kuimba bungeni wimbo wa kumsifu Magufuli. Kipindi anatafuta kura za maoni Kibamba kwenye poster zake si alikuwa anamsifia Magufuli ?.
Halafu linatokea lisukuma linasema mgefuul alikuwa mtoto wao.Nanyoko!Naona kumepambazuka. Alianza mzee Diallo akasema jiwe alipaswa kuwa Milembe, sasa ni Vicky anasema jiwe alikuwa mnyama
Alisahau kifo ndiyo Baba Lao. Ameacha watu wakivaa barakoa alizoita sidiria na chanjo kwa saaana. Na pesa zimepokelewa na zinapelekwa kuwezesha social infrastructure zitakazopambana na Corona mfano madarasa ya kutosha ili waalimu na wanafunzi wasisongamane darasani, health facilities n.k.Jiwe mwenyewe alidai hatishwi na hatishiki.
We ni mnufaika wa hizo pesa Mkuu! hizo pesa unazosema zinaenda kujenga miundo mbinu labda miundo mbinu ya familia zao! Unayemsifia ana akili sana tuliowengi tunaona utendaji wake ubaya na uzuri tunauona woteAlisahau kifo ndiyo Baba Lao. Ameacha watu wakivaa barakoa alizoita sidiria na chanjo kwa saaana. Na pesa zimepokelewa na zinapelekwa kuwezesha social infrastructure zitakazopambana na Corona mfano madarasa ya kutosha ili waalimu na wanafunzi wasisongamane darasani, health facilities n.k.
Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan ana kichwa chenye akili na timu nzuri. Huyo jiwe alijua pesa ya mfadhili ni kununua barakoa tu!!!! Hahahaha
Rest in Eternal Fire.
Hakumpindua mwanamke yeyote. Marehemu Likwelike aliachana na mkewe wa ndoa kwa talaka. Akaoa mwanamke mwingine. Yule mwanamke Mwingine alifariki kwa ugonjwa wa Cancer. Akaishi miaka kadhaa bila mke na ndiyo akaja kumuoa Vicky Kamata.Mbina naye huyo Vicky alipindua ndoa ya mwanamke mwenziye akamchukulia mumewe!!!
Hata yeye Vicky kaumiza mwanamke mwenziye mwisho wa siku Mungu kamchukua huyo "Likwe wake"
Hapana Mkuu Mimi ni raia kama wewe tuWe ni mnufaika wa hizo pesa Mkuu! hizo pesa unazosema zinaenda kujenga miundo mbinu labda miundo mbinu ya familia zao! Unayemsifia ana akili sana tuliowengi tunaona utendaji wake ubaya na uzuri tunauona wote
Kuna Mzee tunaishi nae mtaani. Huyu Mzee ni Kada maarufu wa CCM hapa mtaani kwetu. Kwa miaka mingi amekuwa mtetezi wa CCM. Hivi sasa Mzee yule kaamua kupiga kimya. Kilichomfanya awe mnyonge kwa Chama chake ni namna kinavyofanya maamuzi yake kwa sasa. Akatolea mf suala dogo la Wamachinga: Waliotoa ruhusa hata na kuwapatia vitambulisho ni CCM. Waliotoa tamko la kuwaondoa ni CCM ile ile. Sasa tunafuata ya Chama au mawazo ya mtu binafsi??Wataendelea kufunguka tu