The Boss
JF-Expert Member
- Aug 18, 2009
- 49,282
- 117,244
Mnafki sana huyu.Si aliwahi hadi kuimba bungeni wimbo wa kumsifu Magufuli. Kipindi anatafuta kura za maoni Kibamba kwenye poster zake si alikuwa anamsifia Magufuli ?.
Sasa unafiki wake uko wapi kama alikuwa anaimba kumsifia mtu aliemshikia bunduki kichwani??
Mtu kama kashikikilia maslahi yako na unajua katili ..na kila mtu anamuimba apate nafuu why wewe usiunge tela?