Vicky Kamata: Rais Samia hawezi kutibu majeraha, viongozi wa dini wagange mioyo ya watu, wamejeruhiwa

Vicky Kamata: Rais Samia hawezi kutibu majeraha, viongozi wa dini wagange mioyo ya watu, wamejeruhiwa

Bado unahangaika na malaya!

Usipende sana kutumia Neno hilo. Fikiri deeply. Utashangaa ukijua kuwa katika mfumo dume unaotawala siasa za nchi zetu za Afrika, wanawake wengi unaowaona waking’aa katika nafasi za kisiasa wamepitia au wanapitia adha hiyo kufikia na hata kudumu katika nafasi hizo. It’s an open secret. Wengine bado unawathamini sana. Lakini siri zao zikianikwa utasikitika. Wote utawaita hivyo?

Juzi kwenye mkutano wa UWT, Mh Rais aliwasisitizia wanawake kuhusu umuhimu wa kusimama kwa miguu yao wenyewe badala ya kutumika kwa manufaa ya wengine. Ina maana nyingi ikiwa ni pamoja na kunyanyasika. Hata ikiwa voluntary ni kunyanyasika tu. Ndio maana watu kama R Kelly na Bill Cosby wametikiswa kwa “taking advantage of vulnerable women”.

All said, Vicky Kamata hakutakiwa kumsema Magufuli hadharani. She’s part of the problem. She has a serious credibility shortfall.
 
Hizo stress zake tupa kule...mbona asielezee anavyotaka kudhulumu watoto wa marehemu Likwelile??? Huo si ukatili???

Wewe Zogwale unaetaka kudanganya watu kuwa Watoto wa marehemu wanampenda Vicky,unaona watu wanajua timbwili linaloendelea ndani ya Familia.
 
Waliomkubalia aliwapa zawadi ya vyeo:

Ummy - uwaziri
Angela - Uwaziri, na mumewe ubalozi
Joketi - Ukuu wa Wilaya
Sundi - Meneja ukaguzi wa migodi

Waliokataa

Vicky - mumewe aliondolewa kwenye ukatibu mkuu wa wizara, na yeye daima kuwa kikaangoni.

Vicky hakuwa na ubavu wa kumkataa Mwanasiasa yoyote mkubwa Nchini unless humfahamu vizuri,huyu alijilengesha akapigwa chini ndiyo makasiriko yote hayo.
 
Bongo raha kweli hapa napitia comments za watu na kumjua mtu tangu alipo zaliwa hadi sasa hata yale ya sirini kabisa

Ukijifanya mjuaji watu wanafungua mafile yako vizuri tu.Huyu Vicky anaishi nyumba ya vioo akae kimya,maana hadi Mama yake Mzazi anafariki walikuwa hata hawasalimiani,sijui huo ushauri anampa nani kama yeye alikuwa katili hadi kwa Mama yake mzazi.
 
Usipende sana kutumia Neno hilo. Fikiri deeply. Utashangaa ukijua kuwa katika mfumo dume unaotawala siasa za nchi zetu za Afrika, wanawake wengi unaowaona waking’aa katika nafasi za kisiasa wamepitia au wanapitia adha hiyo kufikia na hata kudumu katika nafasi hizo. It’s an open secret. Wengine bado unawathamini sana. Lakini siri zao zikianikwa utasikitika. Wote utawaita hivyo?

Juzi kwenye mkutano wa UWT, Mh Rais aliwasisitizia wanawake kuhusu umuhimu wa kusimama kwa miguu yao wenyewe badala ya kutumika kwa manufaa ya wengine. Ina maana nyingi ikiwa ni pamoja na kunyanyasika. Hata ikiwa voluntary ni kunyanyasika tu. Ndio maana watu kama R Kelly na Bill Cosby wametikiswa kwa “taking advantage of vulnerable women”.

All said, Vicky Kamata hakutakiwa kumsema Magufuli hadharani. She’s part of the problem. She has a serious credibility shortfall.
Hata samia mwenyewe bila Mwanaume asingekuwa hapo! Ana watuka tu!
 
alitakiwa kukaa kimya tu maana mhhhh, naskia pia jiwe alitaka mzigo ila vicky akakataa hahaa
 
Amesema kiongozi wa awamu ya tano (jiwe) alikuwa mtu katili sana kiasi cha kumfanya apate taabu sana.

Amewasihi watanzania kuishi kwa kutenda mema maana duniani tunapita. Jiwe alilewa madaraka.

Amemaliza kwa kusema pamoja na kufuta andiko lake la kumshutumu jiwe ni kweli jiwe aliniumiza sana.

Source: StarTv (Medani za Siasa) muda huu.

==========

Mwandishi: Hujaeleza mheshimiwa Vicky Kamata, umezunguka sana. Swali la msingi, ni kitu gani kigumu ama ni jambo gani, wakati gani ambao ulikumbana na jambo gumu ambalo ukitafakari unaona kabisa kidogo likutoe kwenye reli?

Vicky Kamata: Unazungumza wakati tayari niko bungeni au wakati natamani kuwa kwenye siasa?

Mwandishi: Tayari uko kwenye siasa

Vicky Kamata: Nikiwa bungeni, labda kile kipindi ambacho awamu ya tano iliingia, mimi ilikuwa tayari ndio nimeolewa, nina ndoa changa tu ikatokea bahati mbaya, siwezi kusema bahati mbaya, mwenye ofisi yake akisema pumzika nataka huyu akae hapa utalalamika? Huwezi kulalamika.

Hicho kilitokea kwa mume wangu, alikipokea very positively, binafsi nilikipokea kawaida kabisa na maisha yakawa mazuri kabisa lakini sasa wenzangu pale bungeni wakaanza kama kunitenga.

Chochote ninachoshauri naonekana ninashauri kwa sasabu nina hasira, kitu ambacho sikuwa nacho wala sikiwazii kwasababu mhusika mwenyewe hajalalamika, walihusisha kazi ya mume wangu na kazi yangu.

Tena wanaCCM wenzangu mpaka walikuwa wanachangia wazi kabisa yaani flani, anakupiga kijembe cha wazi kabisa kwamba una hasira, mume wako ametumbuliwa.


Mwandishi: Umekuwa mbungewa viti maalum kwa miaka 10 mkoa wa Geita, kwanini ukaja huku(Dar-Kibamba) ambako hukufanya chochote kwa ajili yao? Hofu yako ilikuwa nini Geita?

Kamata: Sikuwa na hofu isipokuwa katika majimbo yote ya Geita, yote yalikuwa na wabunge ambao ni wazuri, kaak zungu na wanafanya kazi nzuri kiasi huoni sababu ya kwenda kusukumana na Dotto Biteko, Kanyasu au uende kwa Msukuma

Mwandishi: Kwa mantiki hiyo unataka kutuambia Kibamba hakukuwa na mbunge anayefanya vizuri?

Kamata: 'Exactly' mimi ni CCM mbunge aliyekuwepo wakati ule alikuwa ni wa upinzani na niliona ilikuwa ni wakati sahihi wa kurudisha jimbo letu kwenye chama cha mapinduzi, Kibamba nilienda kwasababu jimbo lilikuwa upinzani na kule kwetu hakuna jimbo lolote lilikuwa upinzani, majimbo yote yalikuwa ni CCM na yalikuwa na wabunge wanapendwa

Mwandishi: Unataka kuwaaminisha watanzania, majimbo ambayo yanaongozwa na wabunge wa CCM ndio yanayopofanya vizuri

Kamata: Sijasema hivyo, inawezekana yapo majimbo ya wabunge wa CCM na hayafanyi vizuri lakini kwa mkoa wangu wa Geita wana sifa nzuri na wanafanya kazi nzuri.

Mwandishi: Ni kweli kwamba wanawake wengi walioko kwenye siasa wanatumika kwenye rushwa ya ngono?

Kamata: Mimi kama mbunge wa viti maalum nilipigiwa kura na wanawake wenzangu, sasa ukiniambia kuna rushwa ya ngono sijui hata inakuwaje lakini sidhani, siwezi kulijibia hilo.

Mwandishi: Hivi karibuni tulishuhudia andiko lako katika mitandao ya kijamii ambalo liliibua hisia za watanzania na nikiona kila mmoja akiipost kwa walichodai umetoa povu, nini ilikuwa dhamira ya andiko lako?

Kamata: Ningeshangaa usingeniuliza hilo swali, dhamira ya andiko langu ilikuwa ni kukumbusha watanzania wenzangu au mtu yoyote ambae angepita kwenye 'page' yangu kwamba hapa duniani sio mahali petu pa kudumu, tujitahidi kusihi vizuri ili tutakapoondoka tuache historia nzuri kwasababu hakuna atakaebaki hapa, hapa tumepewa muda mchache tu lakini katika muda huu mchache tuyafanye yale mzee Mwinyi amekuwa akituambia, kwamba maisha ni hadithi tu.
Wezi tu ndio wanao muita Magu katili wanyonge wanajuwa huruma yake
 
Amefungua " Pandora's box " au " flood gepe" kaamua watu wafungue kitabu cha siri chenye kurasa za maisha yake.....

Na tutafunguka kweli kweli,tutaanzia kwa kina Mpakanjia hadi hapo alipo kwa sasa
 
alitakiwa kukaa kimya tu maana mhhhh, naskia pia jiwe alitaka mzigo ila vicky akakataa hahaa

Huo ubavu wa kukataa hakuwa nao.Kinyume chake ndiyo ukweli wenyewe.Atakataaje wakati Political survival yake ilitegemea life style ya kuwadangia Wakubwa.
 
Huyu alipaswa kukaa kimya,maana tunaweza funguka hapa hadi watu wakabaki wameduwaa.Amwache JPM apumzike kwa amani na yeye aendelee na juhudi zake za kudhulumu mali watoto wa Marehemu Likwelile.
Lakini si alizaa na marehemu Likwelile?
 
Nakumbuka alikuwa anafanya kazi faraja radio. Alikuwa analelewa na Askofu Barina.

Sasa huko alifanya balaa hadi kutimuliwa na Askofu,alitaka kuvunja ndoa ya watu,mke akaja kulalamika kwa Askofu,na evidence zote ikawa ndiyo mwisho wa kufanya kazi pale.
 
Back
Top Bottom