TANZIA Vicky Nsilo Swai mwenye historia ya kuhifadhi viatu vya Hayati Mandela kwa miaka 33 afariki dunia

Nakitaka kitabu hicho chenye mwandiko wa Mandela, milioni 5 zipo mezani
 
poleni watu wa Moshi na Kilimanjaro ila jamani CCM ni CCM tu, wanyonyaji.
 
Marehemu Ahsante Rabi Zephaniah Nsilo Swai alikuwa waziri wa Biashara enzi ya Nyerere sio wizara ya fedha! Wizara ya fedha ilikuwa himaya ya Amir Jamal!
 
Marehemu Ahsante Rabi Zephaniah Nsilo Swai alikuwa waziri wa Biashara enzi ya Nyerere sio wizara ya fedha! Wizara ya fedha ilikuwa himaya ya Amir Jamal!
nashukur kwa kunisahihisha mkuu
 
Unaposema ni muda pengine umesahau! Unataka tuamini kuwa wakati huo ulikuwepo duniani? Na ulikuwa jirani ya huyu mama?
 
Pole sana kwa familia. Mama Nsilo Swai alijitolea sana kuwahudumia viongozi wa ccm kiasi cha Hotel yake pale Moshi kufilisika na hivyo kuiuza!!!! Viongozi wa ccm kwa hulka yao hupenda sana vitu vya bure bure!!!
Hotel hiyo iliitwaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…