TANZIA Vicky Nsilo Swai mwenye historia ya kuhifadhi viatu vya Hayati Mandela kwa miaka 33 afariki dunia

TANZIA Vicky Nsilo Swai mwenye historia ya kuhifadhi viatu vya Hayati Mandela kwa miaka 33 afariki dunia

Marehemu Ahsante Rabi Zephaniah Nsilo Swai alikuwa waziri wa Biashara enzi ya Nyerere sio wizara ya fedha! Wizara ya fedha ilikuwa himaya ya Amir Jamal!
Wizara ya fedha waliimiliki Amir Jamal na Cleopa Msuya kwa mkakati tofauti
 
Unaposema ni muda pengine umesahau! Unataka tuamini kuwa wakati huo ulikuwepo duniani? Na ulikuwa jirani ya huyu mama?
mbona nimeandika hapo kwny para ya kwanza, kuwa nilisoma mahali, ila ni kitambo kidogo.
 
Back
Top Bottom