CHASHA FARMING
JF-Expert Member
- Jun 4, 2011
- 7,967
- 9,544
KAUSHA DAMU/VICOBA ni tatizo kwa sababu hatuna financial education.
Huwa nasikiliza watu wanavyo ponda VICOBA nabakia kucheka kimoyomoyo tu, au nikisiki wanasiasa wanavyo laumu mikopo ya kausha damu nabakia kushangaa.
Yaani Wabongo tumehamisha magoli kulaumu VICOBA bila kujua huo mfumo hauko Tanzania pekee yake, uko karibia mabara matatu yaani Asiauliko anzia, Africa na America ya kusini huko.
Huko kwingine mfumo hauna shida na hata baadhi ya nchi za Africa mfumo hauna shida kabisa.Shida ikoTanzania.
Ku oparate VICOBA bila kuwa na elimuya kifedha kwanza ni tatizo kubwa na haya yote mnayo yanona kwenye vicoba ni kwamba watu hawana elimu za kifedha na wangekuwa navyo huenda hizo Vicoba zingekuwa ni habari nyingine.
KAUSHA Damu ni ukosefu wa elimu ya kifedha na ingekuwepo usingesikia habari za kausha Damu, Serikali iwekeze sana kwenye elimu za kifedha hatujaachelewa sana.
Elimu ya kifedha hata Mabenki hawataki watu wawe nayo, ni elimu ambayo taasisi za ukopeshaji hawatamani watu wawe nayo.
Swala la kukosena kwanza elimu ya kifedha lina zikumba pia hata mikopo ya Halimashauri, ile mikopo huwa watu wanakopa wanagawana tu impact yake kwenye jamii ni ndogo sana au haipo kabisa zaidi ya siasa.
Elimu ya kifedha ni elimu muhimu sana lakini ambayo Serikali imegoma kabisa kuintroduce kwa jamii hasa mashuleni huko.
Sasa kiini cha tatizo hakihuswi badala yake tunakimbilia kulaumu mara kausha Damu, mara Vicoba, hata ile mikop ya Halinashauri ni haina maana sema tu ni ya Serikali ila nayo haina tija kwenye jamii.
Na bila elimu ya kifedha mikopo mingi itaonekana ni mibaya tu.