nimewekaweka na picha tuone
bei yake ni kama tsh ngapi??nimeweka
Dsm elf 35, mikoani kwenye elf 40 - 45b
bei yake ni kama tsh ngapi??
Zinatokea nchi gani?View attachment 3008640
Ni kilio kilichokuwa kikitutesa wengi kwa muda mrefu, yani kupata kadeti original ilikuwa ni shughuli pevu, tushapigwa za uso mara kadhaa kununua kadeti za elf 40 tukidanganywaa kwamba ni original. yaani walioweza kununua kadeti original za dukani walikuwa ni wale daraja la juu zaidi kiuchumi, ama wenye connection za nje, wengine tulishakariri vibanda vya mitumba wanakouza kadeti za dickies.
Kwa sasa ukinunua vucobs ni mkataba, Sehemu nilipo ni mkoani natokwa elf 40 lakini sijutii pesa nayoitoa, najua napata kitu quality kitachodumu na ni kipya.
Sijajua ni nchi gani ila zipo bomba,Zinatokea nchi gani?
Mbona na hizi 'Zara' za Italy zipo quality sana.
Japo bei kidogo imechangamka 35,000 mchezoNaunga mkono hojaView attachment 3008725
Feki tayari zipo mkuu nimepigwa vicobs mbili last time hasa zile za blueSijajua ni nchi gani ila zipo bomba,
Tqtaizo la hapa bongo nina uhakika ni suala la muda tu huyu Vicobbs anaingiliwa soko, kutakuwa na feki nyingi sana, najipanga ninunue chapchap hata sita kabla mambo hayajaharibika
Zara tu hua nasubir sell ikifika najilipua online bas ,last time mke wangu kanunua nguo vituko ni march leo ni june ila huzitizam mara mbiliZinatokea nchi gani?
Mbona na hizi 'Zara' za Italy zipo quality sana.
Mkuu ni vicobss ama vicobbs?Sijajua ni nchi gani ila zipo bomba,
Tqtaizo la hapa bongo nina uhakika ni suala la muda tu huyu Vicobbs anaingiliwa soko, kutakuwa na feki nyingi sana, najipanga ninunue chapchap hata sita kabla mambo hayajaharibika
VICOBSSMkuu ni vicobss ama vicobbs?
Mnatuchanganya uwenda tayari kuna manjonjo hapo
pia tuwe makini, ni VICOBSS, sio VICOBBS ama VICOBS, ni wizi marufu huu wa kubadili herufi chacheFeki tayari zipo mkuu nimepigwa vicobs mbili last time hasa zile za blue
Jina sahihi ni lipipia tuwe makini, ni VICOBSS, sio VICOBBS ama VICOBS, ni wizi marufu huu wa kubadili herufi chache
VICOBSSJina sahihi ni lipi
Hawawezi kuingilia TATIZO Mchina choviya choviya maji mara 2 Cadet ishapauka haitamanikiSijajua ni nchi gani ila zipo bomba,
Tqtaizo la hapa bongo nina uhakika ni suala la muda tu huyu Vicobbs anaingiliwa soko, kutakuwa na feki nyingi sana, najipanga ninunue chapchap hata sita kabla mambo hayajaharibika