ibanezafrica
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 7,261
- 6,553
Huu ndio ujinga Wa watanzania wengi...
Wanyama mbona yuko mbali sana, labda ungemlinganisha Wanyama na Aubemeyang ningekuelewa ingawa wanacheza ligi na nafasi tofauti.
Samatta kwa Afrika kajitahidi, ila kama anataka kwenda ulaya bado ana shughuli pevu.
Huu ndio ujinga Wa watanzania wengi...
Umeiona Barcelona tu..Samatta bado hajatoka nje ya Afrika; Wanyama alishaifunga barcelona kwenye champions league akiwa na celtic, bado safari ipo.
Umeiona Barcelona tu
Huu ndio ujinga Wa watanzania wengi...