Victor Wanyama Vs Mbwana Samatta

Victor Wanyama Vs Mbwana Samatta

bado sana kuanza kumlinganisha samatta na mchezaji yoyote wa afrika alioko ulaya,samatta anahitaji kujituma zaidi ili kufikia malengo na sio kuskliza sifa za wabongo mwishowe akapoteza ata nafasi aliokua nayo hivi sasa.

sure kabisa! akaze buti tu kwa sababu sifa za saa hzi hazna tija sana 'luku fowadi' samatta!
 
bado sana kuanza kumlinganisha samatta na mchezaji yoyote wa afrika alioko ulaya,samatta anahitaji kujituma zaidi ili kufikia malengo na sio kuskliza sifa za wabongo mwishowe akapoteza ata nafasi aliokua nayo hivi sasa.

sure kabisa! akaze buti tu kwa sababu sifa za saa hzi hazna tija sana; "luku fowadi' samatta!"
 
ulinganishaje midfield na striker tena bila aibu unataka shindanisha magoli

matatizo ya kushabikia soka ukubwani haya
 
Samatta anaipasha Tstars lakini Wanyama anafanya vizuri Ulaya tu.
 
Mleta Uzi sidhani kama ni mtu Wa mpira na kama ndivyo umeuleta uzi kitanzania na Kenya hivi!!

Samatta halingani na wala hajakaribia bado mafanikio ya Wanyama,

Namuombea sana mafanikio nasi tulitangaze soka letu na Nchi yetu kama walivyofakikiwa wenzetu kadhaa barani Afrika..
 
acha kumtukana mtz mwezio. hata wewe sio mwelevu vilevile kwa sababu umeshindwa kuelewa kwamba mwezio anafuraha iliyopitiliza. furaha iliyopitiliza ni kama kaulevi flani hivi!

Ungefikiria vizuri maana ya comment yangu usingekurupuka ....
Maana yangu ni kwamba watanzania wengi tumekuwa watu Wa kukurupuka na kusifia kiajabu ajabu.... Mwisho Wa Siku hata mchezaji anapotea ....1) unamjua wanyama?!! Ni kiungo mkabaji wakati Samatta ni Mshambuliaji angemlinganisha na Denis Oliech hapo sawa lakini bado si sawa pia
2) Wanyama kesha cheza ulaya Tangu 2007 mpaka Leo yupo ulaya.... Na ni ligi kubwa amechezea.....

Tuache kuwasifu kijinga kijinga bado anasafari ndefu ...ajikaze ajitume na ajitunze.... Tuliwasifia kina Haruna Moshi na Henry Shindika wako wapi!!?? Kaseja aliecheza nae club bingwa Enyeama Leo yupo lille yeye yupo mbeya city !!??? Tunawavimbisha vichwa .... Wakaze
 
Labda mpaka afanyeje africa ndio atapata nafasi ulaya?

Akaze buti zaidi, pia awe mbunifu, atumie hata agents wake mwenyewe kwa kukusanya clips zake na mafanikio yake ktk timu ya TP Mazembe, wakazinadi ulaya. Ishu iliyopo ni ana competition kubwa sana kutoka watu wa afrika magharibi ambao wana links za watu wenye exposure kubwa ulaya.
 
Wanyama mbona yuko mbali sana, labda ungemlinganisha Wanyama na Aubemeyang ningekuelewa ingawa wanacheza ligi na nafasi tofauti.
Samatta kwa Afrika kajitahidi, ila kama anataka kwenda ulaya bado ana shughuli pevu.

kitaalamu wewe unaitwa mkatishaji Tamaaa uliekubuhu
 
Wanyama ni kiungo na Samatta ni striker. Pia Wanyama tayari yuko ulaya anacheza muda mrefu na Samatta bado anatafuta nafasi ya kucheza ulaya (hajaipata bado)
 
Samatta kama angepataga nafasi ya kwenda ulaya kipindi akiwa na umri wa miaka 18 hivi, angekuja kuwa tegemeo sana katika nchi yetu, ukweli ni kwamba kwa umri alionao sasa ni vigumu sana kwenda nje na kufanya vizuri, kwakuwa kuna miaka kadhaa ya kuzoea ligi husika na mazingira, kwa umri alionao sasa kwa wachezaji wa ulaya hapo anakuwa kaishajulikana uwezo wake na anaendelea kujifundisha mambo machache ili yamsaidie! ila kwakuwa ana kiu ya kwenda nje pia anaweza kwenda na akajitahidi kung'aa ndani ya muda mfupi kwakuwa ana nia ya dhati ya kucheza ulaya..! Mimi kama mtanzania natamani nione mtanzania ktk ligi za nje hivo kwanini asiwe samatta...! Dua zangu unazo kijana wetu we komaa tu
 
sasa unacompare wanyama aliyeanza kucheza ligi ya ubelgiji akiwa miaka 17 na samatta akiwa 23 kwa kweli umechemsha
 
Back
Top Bottom