ibanezafrica
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 7,261
- 6,553
Sijajua maendeleo ya mchezaji victor wanyama kwa record yake ya upachikaji magoli kwa sasa ipo vipi,lakini wakati kuna taarifa zikidai macho ya ma agent wengi kwa sasa afrika na ulaya yakiwa kwa samatta nini basi tofauti iliopo kati yake na wanyama?kwa kiwango aliokionyesha tutegemee atatuwakilisha katika anga za ulaya?