Victoria Kimani

Wakenya ndivyo walivyo wabaguzi mno.... Cheki
( octopizzo ) anaimba nonsense lakini wanamkubali na kumbagua kimani....
Kiukweli nimeshindwa kuelewa kama ni ukabila au wivu ?? Sema vyote viwili vina changia. Wameshadai ni mnigeria sio mkenya.
Hapana, hebu weka kando hayo mambo ya ukabila Kenya for once unapodadavua mambo mengine, hasa kama haya. Haufanyii masuala fulani Kenya haki unapoyatazama kwa minzani hiyo tu.

Victoria Kimani hajajitangaza ipasavyo kwenye soko la Kenya kimziki. Wakenya wengi hawamjui au hata wakiwa wanamjua, nyimbo zake pengine hawazijui. Ikiwa ameshindwa kuunyaka soko hili kimziki, Kosa sasa hapa si ni lake na mapromoters wake?

Hapo Tanzania pia si kuna wanamziki na waigizaji wazuri tu wanaopitia haya ya Victoria Kimani? Hivi Wema Sepetu ni kipi kilichomsibu?

Wewe unayesema mambo ya ukabila/wivu kwani hawa maartistes wengine wenye kutajika humu kama akina King Kaka, Octopizzo, Nyash, Avril etc mbona wasiadhirike na huo ukabila?

Ukabila upo Kenya, hatukatai, lakini nyinyi watz mnaitilia chumvi mno athari ya ukabila kwenye jamii ya wakenya!
 
HUYU NI VICTORIA CATWORK MOB MUZIKI hakuna. Aping nigerians will take you nowhere!!! be like STL-stella mwangi na wamuziki wengi wakenya wanaokita mizizi kwa tamaduni za kikenya na wanatamba sana!! hata kama itabidi utumie lugha za mama kuimbia sawa kuliko kukimbilia unanigeria!! huyu stl anaimba mpaka na lugha ya kikiyu. Nyimbo zake mwaka jana wamezitumia Tommy hilfiger kwa catwalk zao na hana wakati wa kulalamika ovyo ovyo.

stella mwangi










 
Walivuma. Meaning kwa sasa hawavumi. Tatizo nikuwa hawana support
 
Siku umeongea point ni leo. Jifunze kuwa unakifanyisha kichwa chako kazi kama leo.
 
TZ hakuna mwanamziki anayo pitia ya Kimani. Juzi pia Wema Sepute kashinda tuzo hapa Tanzania ya filamu. She is doing good
 
ina wezekana ni ukabila bado una watesa... ndio maana wameamua kumpenda mondi...
 
TZ hakuna mwanamziki anayo pitia ya Kimani. Juzi pia Wema Sepute kashinda tuzo hapa Tanzania ya filamu. She is doing good

Mbona Mr. Nice anateseka, ikuingie kwamba muziki lazima utie bidii na kama ukiwa one hit wonder, basi hela utakazozipata jaribu kujiboresha kwa kuzitumia kama mtaji. Hata mwanamziki anayeitwa Darassa asipokua makini atazikwa kwa zilizopendwa.

Mashabiki Wakenya sio wafuata mkumbo, lazima utoe kitu cha kukubalika, ukiweza basi kesha studio, pambana hadi kitu utakachokitoa kikubalike, ila Wakenya wakikukubali ujue maisha yako yatabadilika na ndio maana wasanii wa Tanzania hutafuta mbinu zote kuja Kenya, maana kwao wanasota tu kwa sababu nyie support zenu ni makelele tu lakini hamuingii mifukoni, yaani full ubahli.
 
Siku umeongea point ni leo. Jifunze kuwa unakifanyisha kichwa chako kazi kama leo.
Acha nyef nyef. Shida ni kwamba wengi wenu hamjui kwamba tusipokuibaliana kimawazo, haimaanishi eti lazima iwe hivyo kwenye kila jambo linaloibuka. As long as its a civil discussion, I always play ball.
 
Mr Nice alipo pata pesa aliingia kwenye ulevi na starehe
Aliacha hata kuimba kisa ulevi na starehe.
Pata Bongo Fleva kidogo. This is how we support our music
 
Watzee ni kama kondoo wanafuatana everywhere hata kama ni kichinjioni. Ni juzi tu walikuwa wanaambiana wasifuate uzi fulani mwasiti ameanzisha eti ni kuidhalilisha Dar is Sluum. Sisi waKenya hapan tambua anything hata iwe Kenyan si mnaona MK254 ANAANZISHA nyuzi tamu lakini si wengi wetu tunazifuata kikondoo.
 
Mr Nice alipo pata pesa aliingia kwenye ulevi na starehe
Aliacha hata kuimba kisa ulevi na starehe.
Pata Bongo Fleva kidogo. This is how we support our music
Mr. Nice yupo Kenya as we speek club hoping akitafuta hela kwa kuosha au kusafisha clubs.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…