Victoria Kimani

Mr. Nice yupo Kenya as we speek club hoping akitafuta hela kwa kuosha au kusafisha clubs.
Then thats the main reason he can not make it through music.
Hii ni nyimbo ya Victoria Kimani inayo ongoza kwa kuwa na Views nyingi of 1.2 million kwa sababu yakuwepo wa Tanzania. Hope utaelewa wa bongo tuna support wasanii.
 
Then thats the main reason he can not make it through music.
Hii ni nyimbo ya Victoria Kimani inayo ongoza kwa kuwa na Views nyingi of 1.2 million kwa sababu yakuwepo wa Tanzania. Hope utaelewa wa bongo tuna support wasanii.
Mimi ninawasupport wasanii for what reason if I will be spending to see them? Tofauti ya wakenya na tz ni priorities.
 
shida yake haaimbi kama mkenya...anajaribu kuwaiga wa nigeria mara wazungu...ndio maana nyimbo zake hazivumi
 
Kama muziki ungewatoa WaTz kwa umaskini basi tungeona kitu kama hiyo...buy music is more personal. Diamond hajaweza kuitoa Danganyikans LDC and he spends more time in Kenya because Tz reminds him of poverty.
Kuna mzungu anataka kukuoa
 
Tz ni bure kabisa hebu cheki hapa 2018
Nyinyi ndiyo mliyo tuweka hapo na kutufikusha hapo mlituibia ndege zetu na Mali nyingi za EAC na tanzanite inapatikana Kenya zaidi ya Tanzania but for now game is change we take how power
 
At least I don't live in an LDC.πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Your don't live in LCD but you live ni KIBERA JEHANAM kama umeweza kuishi kibera hata jehanam unaweza ishi
 
We kweli boya sasa Mr nice ni mwanamusic labda ni mwanamusiki huko kwenu kibera
 
pitia hapa uone sababu kumbuka diamond na ommy dimpoz walishamwandikia mwimbo huyu dada! Prokoto iliandikwa na Bongoflava artists.

Salt Bae: Victoria Kimani Caught Feels Over Safaricom's Deal With Diamond Platnumz - ZUMI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…