Victoria Kimani

Victoria Kimani

mulisaaa

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2017
Posts
6,969
Reaction score
7,027
Kwa nini Kenya mnamchukia Victoria Kimani ? Kwa nini mnashindwa kutoa support kwa wasanii wenu.? Ningeomba mnijuze ni nini tatizo ?

Kenyans Have Refused To Support Me – Victoria Kimani

victoria-kimani.png

It looks like Victoria Kimani is not a happy woman.
The super-sexy singer feels that Nigerians support her more than her fellow Kenyans. Vicky stated that Nigerians the one she should really thank for the milestones she has hit in her career so far. she even did a tour around Kenya recently but locals in most towns were like “Who iz you?”

Miss Kimani apparently posted the rant in an exclusive Kenyan celebrity group saying that some Kenyan deejays and radio presenters were even in positions to help her at one time but chose not to because they hated her.
 
Wakenya huwa hatupelekeshwi kama mambuzi eti kutoa support kisa Mkenya, lazima utie bidii, ufanye kitu cha kuonekana. Sio kama Tanzania watu wanaweza kuelekezwa wote na kutumbukia shimo moja. Kenya lazima uchakarike sio mambo ya kizembe zembe.
 
Wakenya music industry mmeitupa kabisa
No support at all
 
Wakenya huwa hatupelekeshwi kama mambuzi eti kutoa support kisa Mkenya, lazima utie bidii, ufanye kitu cha kuonekana. Sio kama Tanzania watu wanaweza kuelekezwa wote na kutumbukia shimo moja. Kenya lazima uchakarike sio mambo ya kizembe zembe.
Think big nigga ndiyo uongee usiwe ropo ropo utaishia kuokota makopo. [emoji51] [emoji91]
 
Wakenya huwa hatupelekeshwi kama mambuzi eti kutoa support kisa Mkenya, lazima utie bidii, ufanye kitu cha kuonekana. Sio kama Tanzania watu wanaweza kuelekezwa wote na kutumbukia shimo moja. Kenya lazima uchakarike sio mambo ya kizembe zembe.

Umeongea la maana, bring good music people will support ipo hivyo Duniani. Zamani wanamuziki wa Drc walitake over mziki wa Africa Mashariki huku wana Afrika Mashariki wengi hawafahamu hata chembe ya kifaransa they only supported the good music.
 
Kwa nini Kenya mnamchukia Victoria Kimani ? Kwa nini mnashindwa kutoa support kwa wasanii wenu.? Ningeomba mnijuze ni nini tatizo ?

Kenyans Have Refused To Support Me – Victoria Kimani

victoria-kimani.png

It looks like Victoria Kimani is not a happy woman.
The super-sexy singer feels that Nigerians support her more than her fellow Kenyans. Vicky stated that Nigerians the one she should really thank for the milestones she has hit in her career so far. she even did a tour around Kenya recently but locals in most towns were like “Who iz you?”

Miss Kimani apparently posted the rant in an exclusive Kenyan celebrity group saying that some Kenyan deejays and radio presenters were even in positions to help her at one time but chose not to because they hated her.

HUYU NI CATWORK MOB MUZIKI hakuna. Aping nigerians will take you nowhere!!! be like STL-stella mwangi na wamuziki wengi wakenya wanaokita mizizi kwa tamaduni za kikenya na wanatamba sana!! hata kama itabidi utumie lugha za mama kuimbia sawa kuliko kukimbilia unanigeria!! huyu stl anaimba mpaka na lugha ya kikiyu. Nyimbo zake mwaka jana wamezitumia Tommy hilfiger kwa catwalk zao na hana wakati wa kulalamika ovyo ovyo.

stella mwangi
DYvb4LkW0AAnCfW.jpg

DYQUTimW4AA-AJV.jpg

DXIkO2iW4AARHHd.jpg

DUXYpkKXcAA9pph.jpg

DKt8CCMWAAEjW_3.jpg

DLI4NU5XcAE2kXy.jpg
 
Wakenya ndivyo walivyo wabaguzi mno.... Cheki
( octopizzo ) anaimba nonsense lakini wanamkubali na kumbagua kimani....
Kimani yuko vizuri
Pia angeifikisha Kenya mbali kimziki. Tatizo Kenya kuna chuki za ajabu mtu anapokuwa na mafanikio. Kenya ukiwa na mafanikio wanaanza kukukosoa.
 
Back
Top Bottom