Videmu vyenye Umri wa Miaka 20-24 vinasumbua sana

Zinn

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2022
Posts
2,075
Reaction score
2,503
Habari za humu.

Mi navichora tu, vikifika 35+ ndo vinaanza kutia tia huruma, maana vitakuwa vinatafuta mume bila mafanikio.

Kitoto unakitongoza hakitaki, kila ukikapigia simu, kanalalamika mara nina njaa, mara sina bando, unakatoa out siku zingine kanakuja, siku zingine hajaji(na pesa ninayotumia ni yangu)

Sasa nimekaita out hivi karibuni, kakadai muda umeenda, nikakaambia basi kesho, kasema sawa. Kesho kakanigeuka, kakatoa udhuru ghafla.

Jioni kakapiga simu, kanalalamika huko alikotaka aende (ktk udhuru) wenzake hawajatokea so kakabaki pekeyake, kakasema kananjaa, hakajala tangu mchana, nikakaambia kakajinunulie chakula kale. Mara kakasema kanatamani kutoka, nikakaambia katoke na rafiki zake walio karibu, kakasema hawapo, kako pekeyake, nikasema awasubiri wakirudi, hata kesho ili akatoke nao out.

Leo kananibipu, sijakapigia. Yaani mpaka siku kale hela yangu, ni hadi niichakate mbususu yake kimasihara ndo nikape hela. Na hakatapigiwa pigiwa simu tena kama zamani, hawa watu ukionyesha unawahitaji sana, watakutesa.

Lakini wenye age ya 25+ hata hawasumbui, utaichakata hadi uchoke mwenyewe.
 
Sasa vitoto nawewe wapi na wapi ndugu
 
Tafuta wanao jielewa,wewe ni kijana basi tafuta vijana wanajielewa kama wewe,usisumbuke na ambao bado hawajajua mahusiano ni nini.
Mbona mademu wa chuo wapo kibao tu ,hao akiri ishapata chaji tayari[emoji1]

Ila jiandae kulipia some bills
 
Hivyo vya chuo si ndo viko kwenye huo huo umri mzee. Yaani vinakera, mara vikuamkie shikamoo, ili mradi tu usiviwinde.
Tafuta wanao jielewa,wewe ni kijana basi tafuta vijana wanajielewa kama wewe,usisumbuke na ambao bado hawajajua mahusiano ni nini.
Mbona mademu wa chuo wapo kibao tu ,hao akiri ishapata chaji tayari[emoji1]

Ila jiandae kulipia some bills
 
Tafuteni Akina Depal wamakamo hiyo.

Uto tudemu twa 18---25 hapo, tunataka Nawewe uwe kwenye hiyo Age, yaan unanyoa viduku ,milegezo n .k au uwe Fazaa wa miaka kuanzia 50.

Kinyume nahapo tunataka utuhudumie weee lkn twenyewe kukupa mbususu ni mzunguko, Mara mama yupo, Mara tuna Test , Mara vile...

Wanawake watu wazima wanajua nini wanataka, yeye ukishamsimamisha tu, anajua hapa nitatongozwa na ninatongozwa ili niliwe Mzigo!!.

Inabaki ni juu yake kuamua akupe au asikupe, hawana Kona nyingi !!!.

Ikitokea nmemuambia, nichague kulala na Tudemu twa miaka hiyo au kutundikwa msalabani kama PETRO...Bora nitundikwe msalabani.

Alafu twingi twao tuna magonjwa ya zinaa, Papuchi zao ni kawaida kusmell maana tunakua na mabwana nyota za ngani.
 
Kwa nini wanaume tuna mawazo kwamba kila mwanamke lazima aolewe?

Sasa unataka wasisumbue kwenye huo umri waje kusumbua wakiwanna miaka mingapi?

Tusiwe bitter dhidi ya mabinti wanapotukataa, ukikataliwa kubali tafta mwingine sio kuleta visingizio vya sijui wakifika 30+ watapata shida ya wanaume, kwani hizo shida wamekuletea?

Mwanamke akikutakaa tafta mwingine. Acha asumbue kwa sababu ni haki yake na ni mwili wake.
 
Du, hii kali
 
👊👊👊👊📌👊📌👊📌👊📌👊📌👊📌
 
Back
Top Bottom