Videmu vyenye Umri wa Miaka 20-24 vinasumbua sana

Kwa nini wanaume tuna mawazo kwamba kila mwanamke lazima aolewe?

Sasa unataka wasisumbue kwenye huo umri waje kusumbua wakiwanna miaka mingapi?

Tusiwe bitter dhidi ya mabinti wanapotukataa, ukikataliwa kubali tafta mwingine sio kuleta visingizio vya sijui wakifika 30+ watapata shida ya wanaume, kwani hizo shida wamekuletea?

Mwanamke akikutakaa tafta mwingine. Acha asumbue kwa sababu ni haki yake na ni mwili wake.
Fact,kiufupi acha kujiweka muhimu kwa maisha ya watu angalia maisha yako
 
Hivi vitoto dizaini ya zuchu ukilala navyo ule usiku vinalala hasi utasema kameshakufa hakina habari Abdalakichwawazi anataka haki yake. kikiamka asbh hakijui mambo ya morning glory kinaanza kulialia njaa inamwuma😁😁kaz kweli
 
Tafuteni Akina Depal wamakamo hiyo.

Uto tudemu twa 18---25 hapo, tunataka Nawewe uwe kwenye hiyo Age, yaan unanyoa viduku ,milegezo n .k au uwe Fazaa wa miaka kuanzia 50.

Kinyume nahapo tunataka utuhudumie weee lkn twenyewe kukupa mbususu ni mzunguko, Mara mama yupo, Mara tuna Test , Mara vile...

Wanawake watu wazima wanajua nini wanataka, yeye ukishamsimamisha tu, anajua hapa nitatongozwa na ninatongozwa ili niliwe Mzigo!!.

Inabaki ni juu yake kuamua akupe au asikupe, hawana Kona nyingi !!!.

Ikitokea nmemuambia, nichague kulala na Tudemu twa miaka hiyo au kutundikwa msalabani kama PETRO...Bora nitundikwe msalabani.

Alafu twingi twao tuna magonjwa ya zinaa, Papuchi zao ni kawaida kusmell maana tunakua na mabwana nyota za ngani.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] makubwaaa
 
Kwa nini wanaume tuna mawazo kwamba kila mwanamke lazima aolewe?

Sasa unataka wasisumbue kwenye huo umri waje kusumbua wakiwanna miaka mingapi?

Tusiwe bitter dhidi ya mabinti wanapotukataa, ukikataliwa kubali tafta mwingine sio kuleta visingizio vya sijui wakifika 30+ watapata shida ya wanaume, kwani hizo shida wamekuletea?

Mwanamke akikutakaa tafta mwingine. Acha asumbue kwa sababu ni haki yake na ni mwili wake.
Haswaaaah
 
Habari za humu.

Mi navichora tu, vikifika 35+ ndo vinaanza kutia tia huruma, maana vitakuwa vinatafuta mume bila mafanikio.

Kitoto unakitongoza hakitaki, kila ukikapigia simu, kanalalamika mara nina njaa, mara sina bando, unakatoa out siku zingine kanakuja, siku zingine hajaji(na pesa ninayotumia ni yangu)

Sasa nimekaita out hivi karibuni, kakadai muda umeenda, nikakaambia basi kesho, kasema sawa. Kesho kakanigeuka, kakatoa udhuru ghafla.

Jioni kakapiga simu, kanalalamika huko alikotaka aende (ktk udhuru) wenzake hawajatokea so kakabaki pekeyake, kakasema kananjaa, hakajala tangu mchana, nikakaambia kakajinunulie chakula kale. Mara kakasema kanatamani kutoka, nikakaambia katoke na rafiki zake walio karibu, kakasema hawapo, kako pekeyake, nikasema awasubiri wakirudi, hata kesho ili akatoke nao out.

Leo kananibipu, sijakapigia. Yaani mpaka siku kale hela yangu, ni hadi niichakate mbususu yake kimasihara ndo nikape hela. Na hakatapigiwa pigiwa simu tena kama zamani, hawa watu ukionyesha unawahitaji sana, watakutesa.

Lakini wenye age ya 25+ hata hawasumbui, utaichakata hadi uchoke mwenyewe.
Tafuta tu pesa hakuna namna
 
Km unataka kufa na stress chukua demu wa chuo...bora hata single mothers kuliko hao viumbe...ukiviona kule vyuoni km hawaendi chooni
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hivi vitoto dizaini ya zuchu ukilala navyo ule usiku vinalala hasi utasema kameshakufa hakina habari Abdalakichwawazi anataka haki yake. kikiamka asbh hakijui mambo ya morning glory kinaanza kulialia njaa inamwuma[emoji16][emoji16]kaz kweli
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Habari za humu.

Mi navichora tu, vikifika 35+ ndo vinaanza kutia tia huruma, maana vitakuwa vinatafuta mume bila mafanikio.

Kitoto unakitongoza hakitaki, kila ukikapigia simu, kanalalamika mara nina njaa, mara sina bando, unakatoa out siku zingine kanakuja, siku zingine hajaji(na pesa ninayotumia ni yangu)

Sasa nimekaita out hivi karibuni, kakadai muda umeenda, nikakaambia basi kesho, kasema sawa. Kesho kakanigeuka, kakatoa udhuru ghafla.

Jioni kakapiga simu, kanalalamika huko alikotaka aende (ktk udhuru) wenzake hawajatokea so kakabaki pekeyake, kakasema kananjaa, hakajala tangu mchana, nikakaambia kakajinunulie chakula kale. Mara kakasema kanatamani kutoka, nikakaambia katoke na rafiki zake walio karibu, kakasema hawapo, kako pekeyake, nikasema awasubiri wakirudi, hata kesho ili akatoke nao out.

Leo kananibipu, sijakapigia. Yaani mpaka siku kale hela yangu, ni hadi niichakate mbususu yake kimasihara ndo nikape hela. Na hakatapigiwa pigiwa simu tena kama zamani, hawa watu ukionyesha unawahitaji sana, watakutesa.

Lakini wenye age ya 25+ hata hawasumbui, utaichakata hadi uchoke mwenyewe.
Picha
 
Kwa nini wanaume tuna mawazo kwamba kila mwanamke lazima aolewe?

Sasa unataka wasisumbue kwenye huo umri waje kusumbua wakiwanna miaka mingapi?

Tusiwe bitter dhidi ya mabinti wanapotukataa, ukikataliwa kubali tafta mwingine sio kuleta visingizio vya sijui wakifika 30+ watapata shida ya wanaume, kwani hizo shida wamekuletea?

Mwanamke akikutakaa tafta mwingine. Acha asumbue kwa sababu ni haki yake na ni mwili wake.
Nilibahatika kuiangalia movie 'Title Girls are for loving' mwaka 1988, ukiiangalia hii filamu utajifunza vizuri kuhusu wasichana na sijui km bado ipo maana ni enzi hizo za kuangalia VIDEO CASSETE
 
🤣🤣🤣🤣
Kakija geto we wekaga nyimbo za ally kiba na lavalava hakatoki

Na hua hawakosi nyimbo za Chris brown na Rihanna

Sasa mwambie aimbe ucheke

Status zao za wsp hua ni
1 kupenda ndio kitu najuaga
2 tamu yake yule boe(kauwa ndege wawili kwa jewellery moja)
3 mamake mtyu
4 mana JUNIOR wa kesho
😁😁😁😁😁😁🤣🤣
ishawahi ona utamkwaji na uandikaji majina ya Watoto wao
kendriki lamaa
Cayla
Jenki
Na sio mda utaskia nasrini nabi
 
Kakija geto we wekaga nyimbo za ally kiba na lavalava hakatoki

Na hua hawakosi nyimbo za Chris brown na Rihanna

Sasa mwambie aimbe ucheke

Status zao za wsp hua ni
1 kupenda ndio kitu najuaga
2 tamu yake yule boe
3 mamake mtyu
4 mana JUNIOR wa kesho
😁😁😁😁😁😁🤣🤣
ishawahi ona utamkwaji na uandikaji majina ya Watoto wao
kendriki lamaa
Cayla
Jenki
Na sio mda utaskia nasrini nabi
🤣Aisee,sawa bhana
 
Back
Top Bottom